Search results

  1. B

    Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni

    Kwa hiyo hizo ndege zimeikomboa ardhi ya Palestina? Sasa wapelestina wako huru, makofi tafadhali! 💪💪💪
  2. B

    Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Wote ambao hawakurudi kushukuru walikuwa wayahudi (jamii yake Yesu). Aliyerudi kushukuru alikuwa msamaria!
  3. B

    Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Maana yake ni afadhali zama za mwendazake. Waliofurahia kuondoka kwake waendelee kusherehekea basi!
  4. B

    Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Ardhi, ardhi, ardhi, ardhi! Najua wengi hamuwezi kunielewa. Mshana Jr msaidie huyu ndugu.
  5. B

    Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Siyo kwamba ni wavivu ila wamepewa muda wa kutosha ili wajiandae vizuri kwa uchaguzi wa Rais 2025! Ila kwa uchapakazi Lukuvi was outstanding!
  6. B

    Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

    Mzazi mwenye IQ zero halafu azae mtoto mwenye IQ 100 au zaidi. Maajabu ya milenia!
  7. B

    Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    Safi sana. Operation tokomeza vibaraka wa mabeberu wa kimagharibi!
  8. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea my favourite team, siamini kama tumeanza kukata pumzi!
  9. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dua la kuku halimpati mwewe!
  10. B

    Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza

    Kuna jamaa humu aliweka post akisimulia jinsi alivyofedheheka ughaibuni alipoambiwa afungue kikao kwa maombi kwa kiinglishi. Kwa kweli duniani tunapitia changamoto za aina mbalimbali.
  11. B

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Zamani tulikuwa tunaambiwa kwamba komando mmoja anaweza kupiga watu 1,000 kwa mpigo. Sasa nashangaa kusikia komando analia eti alikamatwa kiholela na kuteswa. Ajabu!
  12. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Alichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
  13. B

    #COVID19 Mtaalamu: Kirusi kipya cha Corona ni " kijanja" kuliko Delta kinakwepa chanjo, Chukueni tahadhari zote kujikinga na maambukizi

    Mtapata taabu sana ninyi mlio-temper natural immune zenu kwa chanjo biashara ya mzungu!
  14. B

    Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Usiwe poyoyo na wewe kwa kushadadia akili za mabeberu. Ngoja nikueleze: Mabeberu (US, EU, Israeli, Canada, Australia) wamesababisha political instability na kuwezesha mauaji ya Wakongo zaidi ya milioni 6 ili kufanikisha azma yao ya uporaji wa rasilimali nchini DRC. Hebu tuambie, ni wapi...
  15. B

    Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

    Dressing code ya mafundi mchundo na mainjinia ni helmet na ovaroli. What is the state of our minds? 😀😀😀
  16. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Best team in Europe with 0 European trophy, really? You can't be serious!
Back
Top Bottom