Sisi watanzania tumsubirie aje na papara zake. Hatuogopi msimamo isiyo na mantiki, sehemu ya TZ ya ziwa inatambulika according to international laws na sio mtu aliyeshinda uchaguzi.
kama ni kweli amekuacha kwasababu ya kukataa kula kitimoto ingawa ulibadili dini hapo amekuonea sana, tena amekurupuka, labda kuwe na sababu nyingine ambayo imejificha. Amekuwa na haraka ya kukubadilisha, anatakiwa ajue kuwa kumbadilisha mtu dini is a slow process sio tu siku moja mtu aanze...
Huyo kachanganyikiwa na pesa, anahitaji msaada wako, anakoelekea huenda hajitambui. Hivyo wa kumsaidia ni wewe mwenyewe uliotoka naye mbali. Wengine wapya watambamiza halafu atakuja kurudi kwako yuko hoi. Usikate tamaa haraka ndio changamoto za maisha hizo.
Mkuu usikate tamaa na maisha kiasi hicho, watakuja wengine na mambo yatakuwa poa tu. Hata nchi zilizoendelea zilipitia vipindi kama hivi. viongozi wa namna hii waliwahi kupita pia. Ni genge tu la watu fulani likitoka mambo yanaweza kuwa na mwelekeo mzuri.
Kazi ya kutetea wananchi awaachie CHADEMA, sasa ona yanayompata na yeye mwanaccm, hajui kuwa ukisaidia wananchi CCM wanakutenga. Unachotakia ni kuonyesha kama unawasaidia lkn usiingie kwenye matendo halisi. Namshauri ahamie CDM kabla hawajamshughulikia zaidi au la sivyo atulie kabisa.
Hata wewe umeidhalilisha hiyo taasis kwa huu ujumbe wako. Matamko ya Taasisi hii ya kiofisi yanajulikana sasa hili la kwako ndio linakomelea msumari hapo hapo kwenye kidonda maana onyo lenyewe sio official. sasa heshima itoke wapi?
Ni sawa na mtu kajipaka kinyesi halafu anawaambie wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.