Search results

  1. B

    Mtoto wa kitanga anahitajika!!

    Mkuu unategemea kumpata mwenye sifa hizi mbili kwa pamoja? Haya ndugu yangu, wishing you luck......
  2. B

    Kwenu kina dada: Mavazi yepi mwapenda wenzenu wavae

    Hata kacheni kamoja ka-kawaida tu ka kistaarabu Mwana?
  3. B

    Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo

    ishu imekaa 'ki Ze utamu' zaidi..........
  4. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mkubwa unaonekana unapenda kweli ligi za kidini, hivi unaelewa ile misamaha haikuwa kwa wakristu tu? Hivi unajua hata taasisi za kiislamu zinanufaika na misamaha hiyo? Unajua hata taasisi za kina Agakhan zinanufaika? Inabidi tufike mahali tukisikia kitu tujaribu kukiangalia in 3 dimensions...
  5. B

    Nyumba nzuri inapangishwa Tegeta- nyaishozi

    Mkuu mbona unaogopa kuweka tupicha tuwili-tutatu? unatupa mashaka namna hiyo......
  6. B

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Yule sister alikuwa anaitwa Sr Laura aisee, na yule jamaa alikuwa anafundisha Geography A level na English yake ya ajabu Mr Igoshi yuko wapi jamani?
  7. B

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Ngoja Pinda akusikie!
  8. B

    Here is a help to pass interviews

    Thank you very much Mutensa, ubarikiwe sana
  9. B

    Tabora School: Kichwa cha Tanzania

    Mnamkumbuka mzee Dastan aliyekuwa anavaa nguo fulani za kijani? mi hadi leo hata sijui alikuwa anafanyakazi gani yule mzee! Afande Warioba je? Na Afande Peter!
  10. B

    Is Kenya Preparing For War With Somali?

    Hujui unachoongea wewe, hebu mkimaliza huko jaribuni kuleta pua zenu huku uone........ mmenyang'anywa Migingo kama watoto hapo unajishaua nini sasa
  11. B

    Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

    Mwenyewe umesema No fact No right to talk, wewe harusi yangu ulijua ilikuwa na watu wangapi?
  12. B

    Picha Zisizo Za Kawaida 4: Picha Za Utotoni - Unakumbuka Utundu Ulioufanya?

    Issue kwangu ilikuwa kwenye kuoga! nacheza kutwa nzima ikifika jioni ndio mtihani sasa, unakuta maza anakusubiri mlangoni ukiingia tu unaambiwa nyoosha bafuni, mzee unapiga passport size unatoka, maza aliponishtukia ikawa ananikagua ukitoka bafuni kwanza ngozi ya ndani ya sikio inaguswa kama...
  13. B

    Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

    Hata kama si yeye ali-organise hayo, je alikemea alipoona hiyo situation?
  14. B

    Prime low density plots in Mbweni-DSM

    Muheshimiwa bei gani vinaanzia?
  15. B

    Habari hii inaniuma sana

    Nadhani ni madhara ya bangi, na kwa jinsi navyomsoma marehemu na maisha yake yanavyoonekana ingekuwa ngumu sana kukaa na mvuta bangi.........hakika ni hasara kwa jamii, taifa na familia yakina Bertha, Mungu masamehe dhambi zake dada Bertha na amrehemu, ila huyo bwana SIMUONEI huruma hata chembe!
  16. B

    Wapi nitapata Mbwa wa kufuga?

    Usishangae mkuu $500 kwahiyo kitu ni sawa bin sawia kabisa, ni mbwa wazuri sana na utawa treat unavyotaka, wana heshima na ni walinzi wa ukweli Otherwise makoko nao wapo wengi tu tena bure, ukisikia mbwa wa jirani kazaa unaomba anakupatia vitoto viwili buree, kimoja kinakua kingine kinakufa...
  17. B

    USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

    Huo ni upotoshaji wa hali ya juu. Anataka kutuaminisha kuwa Zanzibar haiwezi kusimama peke yake kama Taifa bila kuwa ndani ya Muungano? Du! I can not buy that idea. Hata kama mimi ni mtu wa bara I believe for sure that Maendeleo ya Zanzibar yamecheleweshwa kwa kuwa ndani ya Muungano. Kadri...
  18. B

    Chenge aongezewa shitaka

    Du, Bongo ni nchi nzuri sana.... hivi kesi kama hii ingemkuta mshkaji tu wa street angekuwa wapi saa hizi? Haya mambo kuna haja ya kutoyafuatilia kabisa maana saa zingine roho inauma mno inatamani ipasuke! Hapa tayari mchongo unachorwa na mzee atahukumiwa kulipa fine kwa kuendesha gari bila bima...
  19. B

    Alpha Dry Cleaner-Mlimani City!

    Mimi nilidhani labda kile chumba chenye internet cafe alipewa nyongeza hakilipii aisee, hamna biashara yoyote haki!
  20. B

    Chatu akikubana ..uma mkia wake!!...Jamaa achomoka kuwa kisusio cha Pasaka

    Dear Sophist, kabla ya kutetea jiulize kwanza, huyo chatu alimpandisha jamaa kwa kumng'ata akapanda nae au alijisokota wakapanda wote au we waonaje? Hamna stori hapo ni uzushi tu.....na picha yenyewe ni kama walikuwa wanapambana hadi jamaa kapata nafasi ya kuvua shati.....kupiga simu....kwanini...
Back
Top Bottom