Search results

  1. U

    Wadzungwa ni wahehe?wanatoka wapi

    mbona waluguru wafupi wakati wadzungwa warefu?
  2. U

    Magufuli tumbua jipu mahakama ya Mbeya

    jaribu kufikiria, umeibiwa pesa nyingi, unapeleka kesi mahakamani, unategemea kesi iishe mtuhumiwa apewe hukumu na pengine upate compensation au uchukue hukumu yake ukafungue kesi ya madai, halafu hakumu anapokea rushwa nono na kuua kesi anamwachia mshitakiwa, wewe haki yako inapotea hivihivi...
  3. U

    Magufuli tumbua jipu mahakama ya Mbeya

    wakati wa kuhutubia mahakama na kutoa hela nyingi kuboresha mahakama, magufuli alimtaka othman chande atumbue mahakimu wala rushwa na wasio na maadili. suala hili halijafanya kazi katika mahakama, hasa mahakimu mkazi na wilaya. pale mbeya kuna hakimu mmoja anaitwa MTEITE, ni hakimu mkuu wa mkoa...
  4. U

    Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

    dah, nimengua hii thread wakati nikibishana na jamaa h
  5. U

    Lowassa akutana na Maalim Seif kwa faragha Dsm

    Yericko NyerereTaarifa
  6. U

    Magufuli kupiga mbizi Kigamboni kuomba kura mwaka huu

    kimeshaharibika hata robo ya mtaji hakijarudisha, a
  7. U

    Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    waende zao wakatafute mtoto mwinigine wa uzeeni huko.
  8. U

    Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    slaa aende zake huko,
  9. U

    Magufuli kupiga mbizi Kigamboni kuomba kura mwaka huu

    Kaeni mkao wa kula.
  10. U

    Lowassa aongezewe ulinzi

    nikikuangalia wewe na kukumbuka kuwa babako ndiye aliyetufikishahapa, kuwaacha watz wana hofu na wanaiona ccm kama muungu mtu, NAPATA HASIRA SANA NA SIPENDI HATA KUKUONA.babako kitu pekee alichokifanya ni kuunganisha taifa kuondoa ukabila na kufanya kiswahili kituunganishe, zaidi ya hayo...
  11. U

    Arusha na Manyara: Yametimia Oktoba ni Kura za mafuriko UKAWA

    Fununi zinasema, baada ya wafuasi wa mamvi kushindwa kumpa kura amina ili kulipiza kisasi usiku wa leo, wameapa kuhamasisha kura kwa ukawa mikoa ya mamvi yote, yaani arusha yote ni ukawa, kilimanjaro yote ni ukawa, manyara yote ni ukawa. ngoma bado mbichi kabisa na mpira hata half time haujafika.
  12. U

    Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Ndugu Lowassa, usihangaike na maccm, hama chama, tangaza nia, unachukua nchi mara moja. nakushauri chukua chama kimojawapo na hivi hapa chini. PPT-MAENDELEO SAU CHAUMMA UDP TLP TADEA NRA UPDPK DEMOKRASIA MAKINI NLD Nakushauri, usiende ACT, ni chama cha zitto kabwe ambaye ni CCM...
  13. U

    Habari ya mwisho ya Marehemu Edson Kamukara

    Habari ya mwisho ya Marehemu Edson Kamukara Karamagi, Hamad Rashid matatani *Wadaiwa kujimilikisha kampuni walimokaribishwa Na Edson Kamukara KAMPUNI mpya ya simu za mkononi, inayolenga kutumia teknolojia ya kisasa zaidi kuliko makampuni yaliyopo nchini hivi sasa, imemeguka kabla ya kuanza...
  14. U

    Mjadala: Haki ya kutoa maelezo Polisi

    mzee wewe ni polisi? ndivyo mnavyowadanganya watu hivyo? weka vifungu vya sheria basi tuvisome.
  15. U

    On second thought - dada kama huyu sawasawa tu kuchepuka

    hapo kwenye red. kumbe wewe bado unakaa na father house, mtoto wa mama bado unakaa nyumbani? dah, nimepoteza muda wangu kusoma story za watoto.
  16. U

    Yupo wapi Mzee Samadu Hassan?

    hahaha. inawezekana unachosema unakiamin kuwa kiko hivyo. kama mimi ni div.5 na wewe ni darasa la saba, unafikiri unao uwezo wa kunitathimini mimi kweli? au?ngoja nikuache uamini hvyohivyo ili uridhike na wewe ujione mtu.
  17. U

    Yupo wapi Mzee Samadu Hassan?

    Huwa anasoma wikipedia tu na google, halafu anatuletea habari za kimataifa. Hivi kuna mwanadamu anaweza kushindwa kufanya hicho anachokianyaga huyo jamaa. Anakula mshahara wa bure ati. Wanamwita mtaalamu wa habari za kimataifa. Tv hizi za kibongo aisee, wakati mwingine zinakera sana...
  18. U

    Mjadala: Haki ya kutoa maelezo Polisi

    weka na vifungu mzee vya sheria vinavyosema hivyo sisi wengine tunataka tujifunze pia. ni sheria ipi inasema huwezi kupelekwa mahakamani bila kuhojiwa na polisi au mlinzi wa amani?
  19. U

    Wachungaji wa kilokole hawana umoja kabisa

    ameambiwa aende lini tena polisi? hivi ccm wana under estimate walokole ehee, mbona wanakuwa biased against them sana au kwasababu wanatandika na kuchoma moto mahirizi yao na waganga wao katika ulimwengu wa roho?
Back
Top Bottom