Search results

  1. A

    Bernard Membe na mkewe warudisha kadi za CCM. Aishukuru CCM kwa mema yote iliyomtendea

    Huyu ni mfa maji atapata kura yake na ya mkewe. CCM MWENDO MDUNDO
  2. A

    Lindi: Rais Magufuli ametoa Shilingi Milioni 340 kwa ajili ya kukarabati mradi mkubwa wa maji safi

    Rais Mh.Dr.John Pombe Magufuli ametoa Shilingi Milioni 340 kwa ajili ya kukarabati mradi mkubwa wa maji safi na salama utakaohudumia vijijini vinne kwenye Kata ya Rutamba Wilayani Lindi. Ukarabati huo utahusisha ujenzi wa matanki mapya wawili yenye ujazo wa Lita laki moja kila moja...
  3. A

    Mbowe: DC Sabaya amezuia watu kuja kwenye mikutano yangu

    Mbaazi ikikosa mvua hasingizia jua Kweli majira yanabadilika [emoji38][emoji38][emoji38] Na bado. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

    Introvert ni kujiendekeza tu ,ubinafsi na uchoyo.Badilikeni.Hakuna binadamu asiyependa privacy kukaa peke yake lakini nyir mmeenda extra mile acheni kujiendekeza mtakosa kuzikwa how come unajifungia ndani chumbani hupokei simu wala kupigiwa simu mtajikuta mmekufa Hadi mmeoz majirani hawajui...
  5. A

    Uchaguzi Morogoro: Devota Minja (MP) aibuka kidedea, Peter Lijualikali abwagwa

    MALISA.. MINJA . MOROGORO HAWA NI WALUGURU WA WAPI ..Chadema ni ya kikabila
  6. A

    Mama Maria Nyerere avunja Ukimya, aungana na Vijana wazalendo kulaani kutukanwa Mwalimu

    Habari ya mwaka 2014 hiyo mnaileta leo.Manyumbu bana
  7. A

    Vijana wa CHADEMA amkeni kutoka usingizini hamkuzaliwa ili mpanue vidole tu

    USALITI, UNAFIKI NA UTAPELI UNAMWISHO. Nilijua iko siku vijana wa CHADEMA watagundua ni kiasi gani wanadanganywa na uongozi wao wa juu wa chama hasa MH. MWENYEKITI WA KUDUM. Hivi kwa akili ya kawada umewahi kujiuliza ww kama mwanachama wa CHADEMA. 1. Kwann wabunge wote wajitolee kila mwezi...
  8. A

    Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

    Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni. Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita. Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu...
  9. A

    Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

    1.Baa medi na mademu unaokutana nao club 2.Mama Ntilie 3.Wanafunzi wa vyuo 4.Demu uliyekosea namba 5.Demu mliyekutana katika mitandao ya kijamii 6.Demu wa saluni 7.Demu wa rafiki yako. 8.Mpangaji mwenzako 9.Mfanyakazi mwenzako 10.Demu yoyote atakayejipendekeza we lamba tu. Ukifikisha...
  10. A

    Wakili Fatma Karume amshtaki Mwanaharakati Cyprian Musiba Mahakama ya Vuga, Zanzibar

    Hiyo case itapigwa chini High Court of Znz haina jurosdiction ya kusikiliza kesi ambazo cause of action imetokea Tanzania Bar.
  11. A

    Kada CCM avamiwa, acharangwa mapanga Dar

    Write your reply...Chadema wameanza ujambazi
  12. A

    Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

    Wapo Kila mahali anaweza kuwa mkeo/mumeo,padri/mchungaji wako sheikh,mwalimu,daktari,polisi,mwanajeshi,pccb,mtendaji kata,mpishi ,machingaa.kichaa,muuza machungwa na karanga,kiongozi wa upinzani,mvuvi,Teja, mhadhiri,mwanafunzi muokota makopo,mfanya usafi jalalani, mfanyakazi wa kujitolea ofisini...
  13. A

    Wateule na wasaidizi, Rais aliwaheshimisha msimwangushe chapeni kazi kwa nia njema ya kulisaidia Taifa

    Augustino Chiwinga Mtama-Lindi 0659438889 Kwa kawaida huwa ni heshima iliyotukuka pale ambapo mtu anateuliwa na Mh Rais kushika madaraka katika ngazi fulani mathalani ya Mkoa,Wilaya au Halmashauri. Huwa inaonesha imani na mategemeo makubwa ambayo Rais anakuwa ameyaweka juu ya mtu huyo. Lakini...
  14. A

    Kwanini ni muhimu kwa kijana wa kisasa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Safi sana umechambua vizuri katika viwango vya kisomi kabisa ndugu.
  15. A

    TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

    Fatma Karume amechanganyikiwa
  16. A

    Diwani Kata ya Masoko, Lindi anashikiliwa na Polisi kwa kukutwa na mbao zisizo na kibali

    Kinara wa biashara za magendo Wilayani Kilwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashahuri ya Wilaya ya Kilwa Ndugu. Abuu Musa Mjaka (CUF) amekamatwa na Mbao za Magendo vipande 400 Nyumbani kwake. Taarifa ambazo zimethibitishwa na mkuu wa wilàya ya Kilwa,Christopher Ngubiagai zimeeleza kwamba...
  17. A

    Humprey Polepole naomba ulijue hile mapema kabla halijatimia

    Dawa chungu haipendwi na watoto .Polepole ni kigingi cha wapizani kuweza kushinda 2019/2020 kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kuzitetea. Wapinzani wanapaparika kutaka kumuondosha katka track ,Polepole kaishika vibaya mitaa ya ufipa
  18. A

    "Ujenzi wa choo nao hadi umsubiri Rais"; Kauli hii ya Mh. Magufuli imenitafakarisha sana

    Jana siku ya Tarehe 5/5/2018 wakati Mh. Rais Magufuli akiendela na Ziara yake Mkoani Morogoro alisimamishwa na wananchi katika Kijiji cha Mang'ula, na hapo ndipo akajitokeza kijana mdogo wa kidato cha kwanza aitwaye Mlindoka Msangi akaelezea changamoto ya vyoo inayoikabili shule yao ya...
  19. A

    Aliyoyazungumza Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Ezekiel Odunga katika vipindi vya power breakfast na alasiri lounge

    Wilaya ya Chemba ina ardhi kubwa ya kutosha yenye rutuba sana inayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama vile dengu, ulezi na mengineyo mengi. Karibuni sana Vijana kufanya kilimo katika wilaya ya Chemba. Wilaya yangu inahakikisha asilimia 5 za Vijana na kina mama zinatoka na kuwafikia...
Back
Top Bottom