Kwani wewe CHADEMA si wacha watu wafanye yao! We unamwona Mbowe, Lowassa na Lisu tu! Mnafikiri mnaweza kuachwa muiendeshe hii Nchi kihuni tu! Tulia uone moto wake! Jasho linawatoka mpaka kwenye meno! Hao Polisi wako wangapi Tanzania hii?
Msiwe mnajibu hovyo tu hapa! Mama yangu sio mwanasiasa ila nakupa hii! Mama yake John Mrema kwenye kura za maoni alipata kura moja lakini kateuliwa na hakufanya chochote kwenye harakati hizi! Elizabeti Temba alipata kura 2 anahusishwa na tuhuma za mapenzi na mbunge! Ukitaka ntakuambia tena...
Wapendwa Salamu,
Hatimaye nimerejea baada ya matibabu ya muda mrefu! KCMC na Agakhan Hospital. Nilipata FB kwenye koromeo. Usijesema ni Face Book ni Foreign Body! Loh!
Back to issue! Mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi unaingia kwenye dosari kubwa baada ya Mbunge Magumashi wa...
Roho iniume kwa Domo K**bwa! Nilichomsikitikia ni kuharibu wimbo wake kwa kuimba hovyo! Kama hujui unachokiongea usijibu hovyo ka uko chooni! Maana unaonyesha dalili za unachokifanya Ukiwa na nzi utaimba ka nzi!
Hapo ndo huwa tunatoa somo sasa.
Kwa mujibu wa sheria namba 67(1) yaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Sifa za Mgombea Ubunge ni zifuatazo:-
Awe Raia wa Tanzania
Awe na Umri wa miaka 21 au zaidi
Awe anajua kusoma na kuandika kwa kiswahili na kiingereza
Awe ni Mwanachama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.