Search results

  1. K

    Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

    Nimepata nilichokuwa nataka has a hapo kwenye alovela Mimi nilikuwa nakatia majani bila kupima maji sasa naona kuku wangu wanaishiwa nguvu na kufa ghafla.
  2. K

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Mama asante maana hiyo itasaidia kuipunguzia serikali mzigo kwa asilimia fulani Mimi nipotayari kuchangia tukihamasishana tutajikomboa watoto wanalia .wakati wazazi wanawasomesha shule za kulipia walikuwa na kazi za kuajiriwa au kufanya bishara ndogondogo sasa aidha wamestafu au uzeee magonjwa...
  3. K

    SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

    Tumsifu Yesu Kristu milele
  4. K

    PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    AMINA. arosa, post: 24007293, member: 284899"]fake hiyo, huyo siyo kupunga mkono leo wala kesho!
  5. K

    Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    hiyo kawaida kuweka msisitizo kwa kila mtu akiwa maeneo ya watu wanaofahamu hiyo lugha
  6. K

    Kampuni ya Kenya yanunua kiwanda cha Tanzania

    kiwanda kinabaki hapa wanainject mtaji mambo yanakwenda .ndio mpango mzima.
  7. K

    Makonda awajibu mawaziri wanaohoji anatafuta nini

    penye riziki hapakosi fitina chapa kazi Mh tunaokaa dsm tunajua umuhimu wako
  8. K

    Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu

    Naomba wanaccm wote wavumilie furaha yao maana hali ilikuwa mbaya kweli sasa unachomokea kwenye tundu la sindano kweli lazima upagawe kwa eneo hilo wanapaswa. But u need to avoid excessive happness ili usipate matatizo mengine. Upo uwezekano ukumchagu au ulimchagua lakini kwa sasa ndiye na kama...
  9. K

    Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu

    Kwa sasa tuwe kitu kimoja hadi wakati wa uchaguzi ujao. Kwa kipindi hiki tuungane tuitoe nchi kwenye mkwamo. Rais Magufuli sio mbaya ni mtu ambaye atatufisha pazuri sana japo kweli mfumo japokuwa ni kweli maumivi kuisha itachukua muda lakini tuvumilie
  10. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Tumuunge mkono Rais wetu katika kujenga Tanzania mpya
  11. K

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Uchaguzi umepita aliyechagua mbunge bomu au Rais asiyeweza kumsaidia kifuatacho ni majuto na taabu nyingi. January karo za watoto na uandikishaji wa wanafunzi
  12. K

    Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Mke Wa Magufuli hapendi mme wake awe Rais wewe unataka awe Rais. Hivi anayemjua Magufuli zaidi ni wewe au mke wake? Mama Magufuli ameonyesha ishara mme wake hastahili kuwa Rais wa nchi hii
  13. K

    Wananiudhi wasiotaka kupiga kura 25/10/2015

    Jamani bila kupiga kura hakuna mabadiliko. Kama unaogopa nenda hata kwa mwenyekiti wa mtaa akupe ulinzi upige kura ni muhimu sana.
  14. K

    Wananiudhi wasiotaka kupiga kura 25/10/2015

    Jamani bila kupiga kura hakuna mabadiliko. Kama unaogopa nenda hata kwa mwenyekiti wa mtaa akupe ulinzi upige kura ni muhimu sana.
  15. K

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    jamani jamani bado tu hamuamini..!!!. Kaisha fika mwenyewe atasema na picha zitawekwa
  16. K

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    muda umekwisha na mambo ya msingi ni yanatakiwa kufanyiwa kazi mimi naona wengine waende hawana shughuli nyingi
  17. K

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Usimjaribu bwana Mungu wako mliko amukia ndiko yeye aliko anzia safari.
  18. K

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mambo mengine ni kuharibu utaratibu leo ni siku ya kumkumbuka baba wa taifa sasa mwenge wapi na wapi
Back
Top Bottom