Search results

  1. D

    'St. Nyerere’s' 18 political miracles

    Naona ndiyo maana aliitwa "mwalimu"
  2. D

    Umeme huoooo!

    Can anybody get those agreements with IPTL, Songas etc here? We may be able to propose solutions once we know exactly what has been agreed / or not agreed in those agreements. I am sure there are clauses that could be used to let us B-R-E-A-T-H freely!
  3. D

    Budget: Govt. revenues and Corruption

    Dear JF Members, It is childishly obvious that any country’s ports (both sea and inland) are most important hubs of economic activities. Economy is what makes the country run, exist and flourish. Economic activities are mostly channelled through imports and exports thus allowing...
  4. D

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Field Marshall In short simple sentences, the quientescence of the whole truth! Thanks for clarifying the myth! Respect!
  5. D

    BOT - Nepotism: Mwinyi, Mkapa, Sumaye, Lowassa et al.

    Bank of Tanzania gave jobs to kin of former presidents Mkapa, Mwinyi The embattled Bank of Tanzania (BoT), already reeling from the EPA saga, has become embroiled in yet another scandal as it emerges that it irregularly employed children and relatives of the ruling elite, including those of...
  6. D

    Kwanza Kilimo?

    Rumenyela, Nakuelewa mkuu. Uchungu unaoupata nina hakika ni wengi tunajisikia hivyo. Ni aibu kukuta kuwa ktk karne ya 21, isiponyesha mvua sehemu fulani nchini kwetu basi watu wanakufa kwa njaa! Hali hii haitosita ikiwa lengo la wahusika wenye jukumu la "kutupanga" wanajali kupitisha bajeti...
  7. D

    Sura mbili za MP. Lolensia Bukwimba

    Hiyo ni dalili ya maendeleo na heshima kwake, kwa bunge na wananchi anaowawakilisha. Cha msingi cha kufuatilia nie je, ahadi zilizotolewa za umeme, maji na huduma nyingine muhimu kwa wananchi wa Busanda zitafuatiliwa???
  8. D

    Kwanza Kilimo?

    Wana JK Hotuba za Waheshiwa Raisi wa JMK na mawaziri wa fedha na kilimo walizozitoa hivi karibuni bungeni zinaonyesha kuwa serikali ina mpango wa kukitilia mkazo kilimo, TENA. Hili ni jambo zuri ila inabidi wote tuliangalie kwa makini. Ikumbukwe kuwa serikali ya awamu ya kwanza ilichambua...
  9. D

    Kwa spidi hii Rwanda watatuacha

    Kagame ni mkereketwa wa nchi yake, Rwanda. Naona ujasiri mkubwa na nia ya kutaka kuleta maendeleo kwa nchi nzima bila kujali ukabila na hata utaifa! Ni kweli kuwa kwa speed hii, muda si mrefu Rwanda watatuacha mbali sana!
  10. D

    Mkapa above the law?: Allegations

    Superman! Naona ghafla umepata moyo wa huruma! Moyo wa kibinadamu!
  11. D

    Secret of JK’s visit to the White House

    Superman! Criticism can also be positive. Being cynical, which you are, does not help anybody. Tuko kwenye matatizo, no question about it. Tuna leadership crisis, no question about that too. But we need to be realistic, and criticize bearing facts in mind. Otherwise, tunakuwa politicians, for...
  12. D

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Hizo habari ni another proof kuwa mheshimiwa mbunge wa Igunga amewaweka mfukoni: 1. wananchi wa Igunga 2. viongozi wa serikali, wakiongozwa na waziri simba, mawaziri wenzie, Mkuchika, n.k. 3. kamati ndogo, kamati ya kati na hata kamati kubwa ya usalama wa nchi 4. Brela na vibaraka wake 5...
  13. D

    Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    CCM na serikali yao lazima wapinge hiyo interpretation. Sababu ni simple, strategy imekuwa hivyo tangu tupate uhuru. Otherwise isingekuwa inawezekana kwa mtu mmoja, asiyekuwa na elimu yoyote ya kutosha, lakini anayo kadi ya chama, anakuwa waziri wa wizara saba(7!) tofauti ktk muda wa karibu...
  14. D

    Mbunge mwingine apata ajali gari yaparamia mawe yaliyotegwa

    Inawezekana kuwa hizo ni coincidents tu! Hakuna haja ya ku-over react. Cha msingi, wabunge hawa (Kimaro, Mwakyembe) na wenzao wengine waendelee kuwapiga vita mafisadi na viongozi wengine wanaohujumu wananchi na nchi kwa ujumla. Ikiwa pataendelea kujitokeza matukio kama hayo, ambayo kwa sasa...
  15. D

    Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

    Mkuu wapi umetoa kipengele cha kuwa Rais wa Tanzania lazima awe na degree? Naomba nukuu ulipotoa, au ukisisitiza unajua, umejuaje?
  16. D

    Kreni zote zimeharibika Bandarini

    Maajabu hayo! Tunataka tuwe na maendeleo wakati hatuna mpangilio. Sasa inabidi atoke waziri aende ulaya akaombe msaada wa cranes, wataalamu wa kuzifix na pesa za kuwalipa kwa kazi yote ikiwa na fidia ya wenye mizigo inayolala hapo port. Kwa kawaida, wenye mizigo bandarini wanapaswa walipwe...
  17. D

    Mawaziri wa ODM Waamua Kususa Mikutano ya Serikali!

    Politics in Africa are poisonous, ruthless, illogical, mostly against any forward thinking initiatives annd against general development of the countries.. The poorer the politicians the more primitive political style becomes. Kuwa mwnanaSiasa ni kupatwa na msukumo wa kutaka kusaidia jumuiya kwa...
  18. D

    Natafuta Massey ferguson tractor.

    Wakuu, Nipe details na mahitaji yako (preferably ni PM), naweza kusaidia. Siku njema.
  19. D

    Tanzanian authorities profess to being unaware as: Vietnam seeks to auction smuggled

    It is no big deal to find who sent the consignment. Somebody must have paid for it, signed off, presented export licence, delivered the consignment to the port. Please DO NOT pretend that all this happened without port officials being aware! It is a continution of the same stories that we are...
Back
Top Bottom