Search results

  1. Y

    Wapi zinapatikana Apartment za ku rent ambazo zipo fully funrnished??

    Wakuu nadhani kumekuwa na wageni wengi sana wanaokuja nchini, ambazo wanakaa kwa mda mfupi na kuondoka nikiwepo mimi mmoja wapo, sasa wakuu nadhani nimejaribu kufatilia jibu sijapata ina maana nchi yetu hamna sehemu yenye apartments ambazo zipo fully furnished ambazo wanapangangisha kwa mda...
  2. Y

    Kenyan Visa

    Yeah ni kweli ukiwa na mkoba wa malawi watu wengi ndio walikuwa wanachukua hiyo advantage kuingia U.K ilikuwa raha sana na wabongo..wazimbabwe wengi sana wameingia kwa njia hiyo U,K kwa kutumia mkoba wa malawi..ila nadhani hiyo kitu wameshaifuta sasa hivi hamna tena...Maana kila mtu alikuwa...
  3. Y

    Ni nini faida za kupiga Chabo

    Hahaha mkuu umenichekesha sana...Anyway kweli kabisa ikishindikana unasimamia mchezo au unaomba dakika 10 zilizobakika katika dakika 90!!
  4. Y

    Kuacha na kuachwa! Ipi ni shughuli pevu

    Mkuu nadhani kwanza kabla ya yote inategemea kwanza imekuwaje mpaka ukaachwa au akaachika hihihi...Anyway ni kwamba kuachwa inauma sana na mtu asikuambie kabisa na pia nadhani hujawahi kuachwa ndio maana umeuliza ila hata mimi pia sijawahi kuachwa ningeachwa nisingecoment so ingekuwa vizuri...
  5. Y

    Kuna umuhimu?

    Hapo hakuna faidam yoyote zaidi naona ni kujiongeze stress zisizokuwa na mpango wowote so hapo mnakwenda kimya kimya kama kawaida!!
  6. Y

    Askari 2 wa JWTZ wadaiwa kufanya ukatili Dar

    Kikwete na watu wake 2010 hahitajiki wapewe watu wengine wa maana...Maana vitu kama hivyo vinatokea sana tena sana sasa hicyo nchi naona kila mtu imekuwa ya kwake mpaka maastari na wenyewe...........
  7. Y

    Hodi Wana JF!

    Karibu!!
  8. Y

    Argentina yachapwa 6-1 kufuzu W.C

    Yeah kawaida na huwa inatokea....
  9. Y

    Rostam nusura ajiumbue

    Tutafika tu mkuu maana hawajaanza leo hao watu!!
  10. Y

    Elections 2010 Endapo Kampeni ya kumzuia JK kugombea 2010...

    Tukae tukifikiria kwamba wananchi ndio wanaomngoa RAIS kwenye kiti na sio viongozi so kama hiyo itatokea TZ nadhani ndio itakuwa mara ya kwanza.,....Na hapo hapo hao wananchi wanadanganyika kwa tisheti za bure pamoja na kanga...Swali linakuja je viongozi wake kikwete aliowachagua na kuwaweka...
  11. Y

    Ni nini faida za kupiga Chabo

    Sio mchezo kupiga chabo ukizidiwa itakuwaje???
  12. Y

    Gari linauzwa: Suzuki Escudo

    Duu sio mchezo but kazi kweli kweli nadhani kungekuwa na pics wengi zaidi wangeweza kujitokeza.
  13. Y

    Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

    Mkuu hamna libwata wala nini...Maneno tu hayo ya watu!!
  14. Y

    Msaada ku-Update Windows Software

    Mimi sija install hiyo window ila labda jaribu kucheck hapo kibarazani kama itakuwepo maana sijacheck kama ipo au hamna check hapa kwanza https://www.jamiiforums.com/educational-stuffs-downloads-tutorials/ Pamoja!!
  15. Y

    Hongera JK na Mama Salma

    Kila la kheri.......
  16. Y

    Wapi naweza kupata software hizi ?

    Mkuu nadhani kama sikosei TOPIC yako inaweza kuamishwa hapa maana naona kama sio sehemu yake,.... Anyway hivyo nadhani zama kwenye hii link hapa https://www.jamiiforums.com/educational-stuffs-downloads-tutorialshapo unaweza kupata kila kitu....
  17. Y

    Msaada ku-Update Windows Software

    Mkuu nadhani kuna window ambayo umedownload siyo halali so hiyo haiwezi kutoka labda zaidi unaweza kutatua hilo tatizo kwa kutoa hayo maneno au hizo error zote unazopata kila ufunguapo PC yako zaidi nenda kwenye hii link nakumbuka nilipatwa na hilo tatizo nika wacontact Microsoft wakanipa hayo...
  18. Y

    Je tuna wacheza mpira kama hawa?

    Mkuu kuna namba 9 ya kuaminika ilikuwa ya taifa haujaiweka hapo maana bila hiyo timu ya taifa au yanga zilikuwa hazichezi mpira huyo anaitwa MWINDA RAMADHANI unamkumbuka huyo??
  19. Y

    TAHADHARI: Majambazi waunda Task force

    Mkuu kwenye chako hamna kuogopa cha jambazi wala nini piga kelele tu....
Back
Top Bottom