Search results

  1. johnj

    Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    kama jambo hulijui bora kunyamaza kimya. unajua wiki ya simba ni kwa ajili ya nini ? Unajua kuna hospitali za mama na mtoto Dar na Zanzibar zinajengwa ? Kwa taarifa yako mauzo yote ya leo wala Simba hawachukui hata senti. zote zinaenda kwenye jamii hsa kwenye hopsitali nilizokwambia.
  2. johnj

    Hewlett-Packard Compaq Presario CQ70 Notebook chassis

    Rafiki yangu ana laptop hiyo ya Compaq CQ70 ambazo zilitoka miaka ya 2010 hivi. na imeharibika chasis ( namaanisha ile frame ya nje toka kwenye kioo na pia chini kwenye motherboard) vitu vingine vinafanya kazi vizuri. Laptop hii ilianguka na hiyo frame ya nje imepata nyufa nyingi na inakuwa...
  3. johnj

    Msaada Kuhusu course ya Computer science

    Tunapishana umri sana. You have the current info then
  4. johnj

    Msaada Kuhusu course ya Computer science

    Ukisoma post yangu namwambia kwa vyuo vyenye majina kama UDSM(CoICT) ukiwa na B ya maths una hakika ya kuchaguliwa ila mwisho nikasema kama sijasahau. Hilo neno kama sijasahau lina maana natumia kunbukumbu ya zamani. Ila mwisho nimempa ushauri kuntu kwamba asome prospectus ya chuo husika. Anyway...
  5. johnj

    Msaada Kuhusu course ya Computer science

    Sidhani kama umeelewa nilichomshauri. Kwa faida yako pia ni kwamba nimemshauri asome degree ya information technology ambayo haijajengwa kwenye maths kama degree ya computer science.
  6. johnj

    Uchaguzi wa wanafunzi kusoma Diploma sio Sahihi.

    Ulitaka kumaanisha nini ? Huoni tofauti yoyote ? Umesoma maelezo yote kwenye uzi ? Wewe umechagua kwenda chuo lakini mtoa mada anongelea waliochaguliwa na serikali kwenda vyuo ilhali wanakidhi vigezo vya kwenda A-level. Issue kubwa ni gharama, muda na specialization. Wewe kama umependa kwenye...
  7. johnj

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nimekuwa nikifuatilia jukwaa hili kwa muda na nikifikiri kwamba hapa utapata habari zote za barcelona kwa wakati lakini sivyo ilivyo. Kwa mtu anayetaka kupata matokeo ya mechi ya jana kwa mfano hadi muda huu hakuna aliyeyaweka ambapo barca ilishinda mbili kwa moja. Tujitahidi ku-update forum...
  8. johnj

    Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,

    Sasa wewe pia hujaonyesha source ya habari yako ili kuthibitisha utafiti ulioufanya. Wayahudi waliuawa sana wakati huo hicho ndio tunachokijua so kama unataka tujue otherwise lazima ulete ushahidi. Kuna siku tutaambiwa vita vya majimaji havikutokea bali ni uzushi tu ili kuonyesha waafrika...
  9. johnj

    PHP

    Nashauri kama una tatizo fulani liweke hapa maana walimu ni wengi tu na watakusaidia. Kama unataka private tutor basi weka email yako. Binafsi napenda kuwa anonymous jf Sent using Jamii Forums mobile app
  10. johnj

    Menu ya Siri inayopatikana Kwenye Google Chrome (Android)

    Kwa kweli anatafuta viewers. Ningeshauri atoe maelezo kiasi kwa maandishi halafu ndio aweke hiyo video ili ambao watasoma na kuona kitu kinachoongelewa hakina faida kwao wasihangaike kuangalia video. Ila all in all anatafuta viewers na pia kutengeneza biashara
  11. johnj

    App ambayo unaweza kusiliza FM radio bila kutumia Earphone

    Kuna mambo mawili hapa; Moja ni kusikiliza radio bila internet access. Hapa inategemea muundo wa simu yako. Inaweza kuwa na internal au externa antenna. Kama ni internal anternal huhitaji headphone ila kama ni external antenna basi headphone ndiyo external antenna yenyewe na huwezi kutumia radio...
  12. johnj

    Turejee Eden

    Ukiangalia mahitaji uliyosema na matayarisho limao na asali havipo. Mbona basi kuviongelea ?
  13. johnj

    Msaada Kuhusu course ya Computer science

    Alternatively kama wewe ni PCB na imeshindikana kusoma xomputer science na ndiyo course unayoipenda then anzia diploma ya IT kwenye vyuo kama University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC). Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.ucc.co.tz
  14. johnj

    Msaada Kuhusu course ya Computer science

    Kitu cha muhimu cha kujiuliza ni kwa nini unataka kusoma computet science. Umeshauriwa au umetaka mwenyewe ? Kama issue ni kuwa mtaalamu wa mambo ya computer then unaweza kusoma kwa mfano degree ya information technology na nyingine kama hiyo. Computer science hesabu ni lazima kwa vyuo vyenye...
  15. johnj

    Marekani wadai Uchaguzi Mdogo wa Agosti 12, 2018, uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi

    Mhhh, you were not forced to use english and by the way the discussion is largely in swahili !
  16. johnj

    Marekani wadai Uchaguzi Mdogo wa Agosti 12, 2018, uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi

    Mhhh, you were not forced to use english and by the way the discussion is largely in swahili !
  17. johnj

    Marekani wadai Uchaguzi Mdogo wa Agosti 12, 2018, uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi

    Mhhh, you were not forced to use english and by the way the discussion is largely in swahili !
  18. johnj

    Hivi ni nini kilichoikumba Kitonga Secondary School s2757?

    Wengi tumeandika assumptions zetu kwa kadiri tulivyoweza lakini ukweli halisi hatukuusema. I happen to know the school Issue kubwa ni aina ya watoto wanaopelekwa hiyo shule toka darasa la saba. Wengine hawajui hata kusoma. Badala ya kuilaimu shule nafikiri tulaumu sera ya big results Now...
  19. johnj

    Different btn java script and java

    ndio maana nilisema pascal au c ili awe na basics then aje kwenye java. but it all depend anataka kuwa programmer ? aina gani ya programmer (desktop, system,etc) kwa mimi niliosoma pascal naona kama ni moja ya lugha rahisi kujifunzia programming though haina matumizi kwenye real world. kama...
  20. johnj

    Different btn java script and java

    zote ni programming languages ila kwa matumizi tofauti pamoja na majina kufanana lakini ni language mbili tofauti kabisa JavaScript inatumika zaidi kwenye utengenezaji wa web sites while Java INA matumizi mengi toka games, websites, embedded systems na pia stand alone applications. kama...
Back
Top Bottom