Search results

  1. master peace

    Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Tendwa anajidanganya; Hakuna awaye yeyote mwenye uwezo wa kuifuta CHADEMA; CHADEMA ni moto wa kuotea mbali.
  2. master peace

    CCM haitabaki salama!

    Hatudanganyiki ng'o.
  3. master peace

    Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu...

    Hayo ndo matatizo ya Baraza la Mtihani ku-reseat mtihani badala ya wanafunzi wenyewe; unatarajia nini endapo matokeo ya awali mwanafunzi aliye maliza form four alipata division zero, mara baada ya NECTA kuya-chakachua matokeo hayo kwa maagizo ya serikali ya muishiwa dhaifu, mwanafunzi huyo huyo...
  4. master peace

    Uchaguzi wa kata 4 za Arusha waahirishwa tena

    Wanabodi heshima kwenu wakuu !!!! Kauli ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi inadhihirisha pasipo shaka, uchaguzi mdogo wa madiwani jijini Arusha hautafanyika hadi 2015; Technique hii inatumika ili kumwezesha Meya wa ki-china aendelee kuwepo madarakani kwa maslahi ya mafisadi. Ikumbukwe Arusha...
  5. master peace

    Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

    Mwigulu ni msahaulifu kama kuku, possibly kesha sahau kilicho tokea; Endapo Mwehu gulu ndo jembe la magambaz, watanzania tutarajie nini ?.
  6. master peace

    UPDATE: Uthibitisho wa CHADEMA kumiliki DVR mbili zilizorekodi mkutano huu hapa.

    Mkuu Usalama wa taifa alizikwa nao mwalimu Nyerere, hawa waliopo ni "UHASAMA wa taifa"
  7. master peace

    Tamko la serikali juu. Ya mlipuko wa Bomu Arusha

    Wana bodi, heshima kwenu wakuu, Kiongozi akikosa hekima na busara anakuwa mpumbavu, Kiongozi akikosa utu na ubinadamu anakuwa mkatili, Kiongozi akikosa kutambua ya kuwa yupo kwa ajili ya watu anakuwa na dharau. Kiongozi huyo ni nani ? "Mizengwe iliyo pinda".
  8. master peace

    JOHN HECHE: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Pinda anajisafishia njia yake ya kwenda the Hegue.
  9. master peace

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    Mkuu mkisah : Hayo ndo matatizo ya akili ndogo kutaka kutawala akili kubwa. CHADEMA tupo makini kuliko CCM na serikali yenu " Hayo unayo yawaza leo, CHADEMA tulisha yawaza miaka mitano iliyo pita"
  10. master peace

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    Kwani tusemapo "Mbeya nchi, Rais Sugu" unadhani tumekosea ?
  11. master peace

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Ndugu wana JF ni vyema mkatambua ya kuwa hayo ndo matunda ya system thabiti iliyojengwa na CHADEMA kwa mda wa miaka ishirini iliyo pita.
  12. master peace

    CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    Hilo liko wazi hata magamba wanakiri japo kimo moyo " CHADEMA ni zaidi ya chama cha siasa, CHADEMA ni moto wa kuotea mbali" bali wameamua kujitoa ufahamu kwa mda.
  13. master peace

    DPP kukata rufaa kupinga dhamana ya Lwakatare Mahakama Kuu

    DPP anatekeleza maagizo ya Kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa kusoma alama za nyakati. TULIANZA NA MUNGU, TUNAENDELEA NA MUNGU na TUTAMALIZA NA MUNGU.
  14. master peace

    Maandamano ya kumpokea Lwakatare Bukoba ni kesho kutwa!

    Wewe ni mwenyeji / mkazi wa Bukoba mjini ? au ndo Kagasheki mwenyewe ?.
  15. master peace

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Dr.Slaa alisha mwambia mzee wa kaya, nchi imemshinda akauchuna, TISS imegawanyika akaweka pamba masikioni, poliCCM imegawanyika akapotezea, JWTZ si wamoja kama anavyo dhani akapuuzia, Undugu na Umoja wa taifa letu umegawanyika vipande vipande akasema CHADEMA ni waongo na wazushi. Jiulize...
  16. master peace

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Amechonganisha vipi dola na raia ?; Possibly na wewe ni miongoni mwa wale mnao amini ya kuwa chanzo cha matatizo yanayo ikabili nchi yetu ni CHADEMA.
  17. master peace

    Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

    Mkuu tutarajie nini baada ya mtuhumiwa kujichunguza yeye mwenyewe ?
  18. master peace

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Hizo ni habari njema mkuu, maCCM hawana pa kutokea ifikapo 2015. Hata Wapogoro wameamka ............ Chezea M4C.
  19. master peace

    Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Mkuu yupo ulaya anabembea; Hivi kweli serikali yake imeshindwa kumtengenezea bembea ili kuepusha gharama kubwa anazo zitumia kwenda kubembea ulaya kila siku ?
Back
Top Bottom