Mbunge analipwa sjilingi ngapi? Je walimu, hata wa private wapo kwenye mgomo mana wengi wa walimu wa shule hizo walipangwa porini wakachukia wakaondoka, wapo binafsi kwa machungu tuu.mitiani ilikuwa simple, ishu hizi wanazijua wanafunzi na walimu wao, den serikali, na wanasiass, hata wangefaulu...
Nchi hii haipo kusema kweli, kila kitu ni kuficho. Hayo ndio matokeo kudato cha pili na nne, isisingiziwe uhaba wa walimu wala maabara. Kwani shulezenye vitu hivyo ndo kwana zimeongoza kufeli, mfano hapa manjara duru sek haina maabara ila imekuwa ya 12 kimkoa kwa kuzipita shule kongwe kama...
Kumbukeni kanisa katoliki ndilo kanisa mama ya makanisa yote duniani, madhehebu mengine yamejitoa kwa kushindwa mashart magumu ya kanisa, et kuoa ni lazima, je mapadre na masister wangepata wapi muda wa kusimamia elimu mchana na usiku kama wangekuwa na wake au waume zao, usiku ni mda wa kilala...
Rombo ni jamhuri ya kipekee.ndio wilaya pekee itoayo usafiri wa moja kwa moja kwenda nairobi, dar, tanga mjini, karatu, singida, arusha, mombasa, n.k. Kwa sasa tunataka usafiri wa ndege, kwa hiyo karibuni wawekezaji.
Ishu ni kuwa arusha ni kama nchu iliyo huru si kama baadhi ya maeneo kama dar es salaam. Kamaarusha in mchanganyiko wa watu kwa nini dara isibadilike? Semeni ni kwa nini? Tunajivunia uvumilivu wa kuonewa na wanaojiita majoka na kujivua wameshindwa kabisa. Mie nacheka mana huwa nyoka...
[i]ulichoandika ndivyo na roho yako ilivyo. Tatizo ni ukurutu wa kutu ulio nao kwa uelewa finyu. Mwisho wa maandiko haya ya mtapo uu karibu. Usifikiri umechangia kitu mwana! Tunao mda wa kukujibu kuwa ujumbe wako umefungiwakwenye jeneza na unanuka kuliko maiti mana tumeufanyia postmatamu...
acha kuongea ujinga. Kumbuka hakuna asiyekula sote tuna tumbo ila hapa nilipo wangi wameweka boda boda zao mafuta wenyewe wengine wamewekewa na wazalendo na wapenzi wa chadema. Hata mimi niwaunga mkono kwa hili.
Kwa kweli mimi ni mwalimu na kubwa ni kuwa wanafunzi wa sasa ni waoga hata kuongea kidogo anachojua ni vigumu. Ila la msingi mfumo wa elimu ni mbovu wote kwa sababu zinazojulikana kubwa likiwa ni siasa chafu kwa elimu yetu hii. Tusipo weka tume huru ya elimu, du itakuwa madudu heri ya mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.