Search results

  1. L

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    tunawaombea wote waliofikwa na msiba, Mungu awape nguvu na rehema. Chanzo ni daladala coaster iliingia road ghafla, mwenye roli alikuwa anaikwepa daladal iloingia road ghafla, trailer liliyumba na kuipiga pass noah wakati wa jitihada hizo ''swivel pin'' ya loli ilikatika na kichwa kikaendelea...
  2. L

    Mchaichai (Lemon Grass) na faida zake kwa matumizi ya mwanadamu

    Salaam Wanajanvi, Tupo katika mapambano na malaria, hasa kuwatokomeza mbu wanaoeneza hayo malaria. Mwenye kujua hebu tujuze kama mchai chai (Lemon Grass) unaweza kufukuza mbu pamoja na wadudu wengine kama nzi? Kama ni kweli hufukuza mbu (insect reppellent-citronella), haya majani...
  3. L

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Nakubaliana na kuchukua likizo ili kusimamia, lakini kabla ya hapo jaribu kuwepo dukani kila baada ya kazi pamoja tumia week ends na siku zako za off uuze mwenyewe utaona mapungufu mengi kwa mfano: 1. Muuzaji yupo makini na kazi au mladi apata mshahara. 2. Muuzaji anaanza bei za juu ili apate...
  4. L

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    USHAURI: MSHAHARA NA UKOMO WA DEREVA KUHUSU GARI Kila biashara/shughuri yoyote ina ugumu na karaha zake Biashara ya daladala inalipa na ni nzuri kwa wale wasio na muda mchana .As rule of thumb. HIACE (Tajiri=24days x 45,000/=, Service= 2days x 45,000/=, trafic &s umatra & majembe=2days x...
  5. L

    Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

    Saitama-kein, Dawa ya kumsaidia huyu mgonjwa inaitwa BONJELA hii inapatikana katika maduka ya dawa makubwa, pia ni bei mbaya(relatively) na ukiweka ktk kidonda inauma sana dk 2 za mwanzo. Katika maduka ya kawaida utapata dawa ya tube inaitwa ORREPASTE .Zote dawa hizi ni mswano sana na hii ya...
  6. L

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Thanx for information on health benefits of HONEY. A nutural Honey can be purchased at Ministry of natural resources, department of honey and bee. But we are looking availability of PROPOLIS in local market esp.in DAR Due to acidity(low PH) of propolis and Honey it is vey good to improve...
  7. L

    Je, vitunguu swaumu vinapandisha presha?

    Garlic just regulate blood pressure(high or low) through dealing with cholesterol and triglycerides. Garlic (Allium sativum L) is a common garden plant with an edible bulblike root. it is used for cooking and medicinal purposes. When fresh garlic is crushed or chopped, enzymes within the...
  8. L

    Majembe Auction Mart washapewa UBUNGO

    Suala zima naona lina utata hasa lengo kubwa likiwa ni kupunguza kero kwa wasafiri na wasafirishaji abiria. Kuna mambo ya msingi yameelezwa kuhusu kupewa tender yenyewe lakini pia 1.Hawa majembe watalipwa namna gani? kama watalipwa kutokana na faini za wakosaji na kwenda tofauti na leseni...
  9. L

    TRA yakamata mitambo ya Dowans

    Namie namkumbuka hasa pale mlimani alikuwa kipanga sana.Nadhani kwa ukifaa wake na uchapakazi wake tulipokuwa naye TRIANGLE -Zimbabwe aliamua kurudi home,masikini sijui DOwans walimdaka wapi? Yawezekana kwa utaalamu wake aliobobea katika mitambo ya kufua umeme. Anyway mjomba, yawezekana hajui...
  10. L

    Uanzishaji wa kiwanda kidogo cha kutengeneza rangi

    Katika pitapita zangu nimekutana na mjasiliamari anayeweza kutengeneza viatu kwa kutumia ngozi za ngombe na samaki.Nimevutiwa sana na nikajenga hamasa ili niweze kutengeneza rangi mbalimbali, kwa kuanzia natamani kutengeneza rangi za majumbani. Natafuta ushauri kwa wenyekujua nianzie wapi...
  11. L

    Ulipwaji wa bima baada ya kupata ajali

    Asante sana October, kwa jinsi hiyo inatubidi tuwe wapole tusubiri mwenendo wa kesi , nadhani wiki hii haitapita.Nitaku-PM baada ya kesi kwisha ili utushauri ni wapi tunapata wakili wa kesi za traffic na tunafungulia mahakama gani. Mwanajamii sheria inabidi tuzijue na haki zetu tuzijue laa...
  12. L

    Ulipwaji wa bima baada ya kupata ajali

    Salaam wana jamii.Naombeni ushauri tunawezaje kupata malipo ya bima baada ya kuumia katika ajali ya barabarani hapa dsm.sie tulikuwa katika basi, lilikuja loli lilioshehana pamba likagonga kwa nyuma basi letu na kuendelea kugonga magari mengine hadi matano. ajali ilipimwa, vielelezo vyote vya...
  13. L

    The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

    MKJJ, mie nimepitwa na jambo, hivi '' KA-INZI kametotoa'' huu usemi una maana gani mzee? tafadhali
  14. L

    Vituko vya weekendi...

    aah mambo ya mbwa sio hoja, mbona wenzetu wala vyura hatusemi
Back
Top Bottom