Search results

  1. Che Kalizozele

    Tunaendelea,kumbe tukiamua tunaweza,kusini tumeonesha mfano huo leo hii na dunia imeona

    Hapo kwenye red Big show,kama nakuona vile.Kweli katika hili kazi ipo
  2. Che Kalizozele

    Swala la Watanzania kuto kuunganisha Mitaji yao ni sawa na Kujichimbia Kaburi la Biashara

    Ukweli ni kwamba watanzania tuna tatizo la uaminifu kitu kilichosababisha watu tusiaminiane,kwa kawaida mtu usipokuwa muaminifu ni vigumu kumuamini mwenzako.Kuna muheshimiwa mmoja anasema,asilimia themenini ya matatizo ambayo nikikwazo kwa maendeleo yako,yanatokana na wewe mwenyewe,unachotakiwa...
  3. Che Kalizozele

    Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

    Ushindani sio mkubwa kama unavyofikiria ndugu yangu,asilimia kubwa ya dawa za TPI zinauzwa MSD na kwa maneno yake mwenyewe Madabida kwa miaka kadhaa walikuwa hawajawahi kukidhi mahitaji ya soko.Tatizo kubwa liko hapo kwenye kutengeneza dawa zenye ubora na mbaya zaidi makosa yanapotokea wakati wa...
  4. Che Kalizozele

    Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

    Huo ndio ukweli.Niliwahi kufanya field hapo TPI,zamani kidogo. kipindi hicho kiwanda cha kutengeneza ARV kikiwa bado kwenye makaratasi.Kulingana na maelezo ya meneja,serikali ilikuwa ina hisa katika kile kiwanda(wewe haujiulizi waziri amepata wapi nguvu za kumsimamisha mkuu wa kitengo cha...
  5. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Magoli matatu aliyofunga Alexander Christopher yaliizamisha Mtibwa katika fainali ya michuano ya super8
  6. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    2015 ni mwaka ambao tutawaambia CCM imetosha,kaeni pembeni nanyi muwe watazamaji.
  7. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kiume na kiumeni;Kiume ni nomino na kiumeni ni kielezi.
  8. Che Kalizozele

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana mkuu,Mwanyezi Mungu akupe subra katika kipindi kigumu.
  9. Che Kalizozele

    angekuwa mwanao ungemfanyaje !!!

    Huyu ni wa kupeleka polisi tu,hakuna jinsi.
  10. Che Kalizozele

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    kwa kweli ni hatari zaidi ya nilivyokuwa nafikiria.Poleni sana watanzania wenzangu
  11. Che Kalizozele

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mie nafikiri kuna haja ya kufanya maamuzi magumu,wafukuze wenger,bora kuanza upya kuliko kujenga timu kila mwaka,mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
  12. Che Kalizozele

    Kwa wanaume wenye ndevu

    sasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!
  13. Che Kalizozele

    Mambo mpwitompwito

    Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
  14. Che Kalizozele

    Mambo mpwitompwito

    Na weweee,swaumu ya jana itabidi ulipizie hata kama sio muislam.Ni brand ya wapi hiyo mwanangu,au haukuona ni madeni ya wapi.
  15. Che Kalizozele

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    A nice one,nitajitahidi niifuatilie mpaka mwisho.Nashauri iwe inatoka kila jumamosi mpaka itakapoisha,ili iwe rahisi kufuatilia na wewe mwandishi kupata muda mzuri wa kuitayarisha. Otherwise,good job.
  16. Che Kalizozele

    Mwanamke aolewa na wanaume wawili

    MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela' (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo. Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na...
  17. Che Kalizozele

    Life's hidden laws

    There are hidden but important laws which even scientists like Newtons and Einstein didn't reveal to us.But the truths are universal and,above all,worth observing. 1. Law of waiting in line: If you change queues,the one you have left will start to move faster than the one you are in now...
  18. Che Kalizozele

    Joke of the day

    That was the plan and for the record hii maneno nimeicopy somewhere baada ya kuipenda.Na kuhusu "kuibadili kidogo" Some say and some say no but MODS are still investigating.
  19. Che Kalizozele

    Joke of the day

    University students waliingia kwenye quiz ya kuongea, two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie. Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na wanafunzi walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa...
Back
Top Bottom