Search results

  1. M

    MATOKEO Ya Vyuo yametoka

    hii imetulia..ila siyo kwamba kila jambo wanajua wao,mie hata huyo mtoto wa sitta simfahamu.Nilitegema ungeniomba tutorials nikupe ili nawewe ujifunze kucheza na python.
  2. M

    MATOKEO Ya Vyuo yametoka

    hiyo siyo Biashara ya mtoto wa mama Sita wala Diallo,Application imetengenezwa na vijana wadogo tu ambao wamemaliza chuo pale UDSM mwaka huu..Bei ni TSH 250 Nyambala, vijana hawa wameamua kujikomboa na wamejitolea kusaidia watanzania kuwapa huduma zilizo bora na za bei nafuu
  3. M

    MATOKEO Ya Vyuo yametoka

    Ila TUME ya vyuo imeweka Huduma hii ili watu wayapate kwa urahisi,sababu wanafunzi walioomba ni wengi na wanatoka sehemu mbali mbali za Tanzania ambk hata Magazeti hayafiki,na njia ya SMS ni rahisi kuwafikia watu wengi..
  4. M

    MATOKEO Ya Vyuo yametoka

    Habari za Mchana. Habari nilizozipata Asubuhi hii ni kwamba Matokeo ya Wanafunzi waliochaguliwa Vyuo Mbali mbali yametolewa.UDSM,MZUMBE,Zanzibar State University,SUA,TUDARCO,AU,UDOM,ST. Augustine,MUCCOBS,MWUCE,DUCE,IUCO,SUZA,RUCO,MUHAS(Muhimbili),MMU,TEKU,ZU,WBUCHS,SMMUCO,St Johns,Open...
Back
Top Bottom