Search results

  1. Myangu

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Maisha magumu Kutafuta njia ya kufanikiwa kirahisi.
  2. Myangu

    Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Wafanye tuweze kufunga baadhi ya chanel km hutaki mtu atizame Azam please.
  3. Myangu

    TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Pole mwana JF Mungu akupe siha njema kipindi hiki.
  4. Myangu

    Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Monetary policy, Aise hivi pesa ni nyingi kiasi hiki mpaka afanye hivi mmmh,
  5. Myangu

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Style zingine zipite kulia bwana
  6. Myangu

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Miye nakwambia katiba ikiwa mbovu mambo yatakuwa hovyo, na katiba ikiwa nzuri mambo yatakuwa mazuri. Sasa sijui tuko wapi?
  7. Myangu

    Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Game yake sojaielewa risasi nne, kweli walengajji hawakuwa na shabaha kabisa.
  8. Myangu

    Arusha: Polisi wawakamata Waliohusika na Mauaji ya Dereva wa magari ya Watalii Omari Msamo

    Yule dada wa kibaha mpaka leo kimya, wale wauwaji waliomfuta kanisani. Yule mama kule Moro Mwajuma nani aliuwawa nyumbani kwake 2022 mpaka leo kimya.
  9. Myangu

    Jela miaka 20 kisa vipande 14 vya pofu

    Waache upuuzi wao miaka ishirini ya nini sasa, bwana kwa kitu gani ujinga ujinga tuuu, watu wanamega likeki la taifa wanaachwa ujinga mtupu.
Back
Top Bottom