Search results

  1. Kamanda Kazi

    Shall we fight for freedom in Tanzania

    Which kind of freedom are you talking about?
  2. Kamanda Kazi

    Wadada mnaotulalia vifuani kwenye mabasi ya mikoani acheni sio vizuri hivyo, huwa mnatusisimua sana

    Mmmmh ...... akiachia pumzi ya nyuma usimpushi aamke! Vumilia tuuu
  3. Kamanda Kazi

    Msaada: Kutotolesha Mayai ya Kuchi Nifanyeje?

    Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
  4. Kamanda Kazi

    DAR: Wawili walazwa Muhimbili kwa kujeruhiwa na risasi baada ya kukaidi amri ya Polisi

    Usiseme hivyo ndugu! Kusimamishwa na askari halafu ukakaidi huwa inampa askari tafsiri kuwa wewe ni mhalifu! Na sio TZ tu ni nchi yeyote inakuwa hivyo.
  5. Kamanda Kazi

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    TISS ni Watanzania wenye Uzalendo na Taifa lao! Ni wewe na mimi bila kujali kama tumeajiriwa katika TISS kwa sababu bila wewe na mimi TISS haiwezi kufikia malengo ya kuanzishwa na kuwepo kwake! Yaani TISS inatutegemea sisi katika kufanya kazi. It need to be fed with Intelligence from us....
  6. Kamanda Kazi

    Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

    Kama hakufanya ujanani kwa nini asifanye sasa? Ila aibu wajameni
  7. Kamanda Kazi

    Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

    Kazi Ndo Imeanza: Magufuli JEMBE!!!
  8. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    mambo mengine hayana kiswahili ndugu. Mfano strawberry kiswahili utaita stroberi. Sasa hicho sio kiswahili bali kuchapia kiingereza. Nakushauri u-google utaona kwa picha.
  9. Kamanda Kazi

    Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    Kiasi cha maji sio muhimu sana. Muhimu ni content iliyomo kwenye hivyo utakavyo-blend. Maana nutrients ni zilezile (fixed) no matter kiasi cha maji
  10. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Jamani eeeh...Kama una hangover usi-comment hadi ikuishe please. Soma hii makitu upate knowledge! Preta@ hebu kuja hapa please.... Njia bora ya kuondokana na uchovu (hangover) ni kunywa kiasi au kuacha kabisa unywaji pombe. Kamwe dawa ya hangover sio kuzimua kwa pombe asubuhi ya siku nyingine...
  11. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Heee...Preta! What is wrong my dear? Wataka picha?
  12. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Vyakula vya asili kwa maana kwamba ambavyo havijaondolewa hali yake ya uasilia au kukobolewa. Pia sio GMOs! Nadhani umenielewa
  13. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Matunda ya strawberries wewe google utaona yanafananaje! Yanapatikana kwenye masoko au supermarket!
  14. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Kujiamini kwa mwanaume lijali ni pale anapomtosheleza mwenzi au mpenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Na furaha ya mwanamke ni pale anapofikishwa kwenye utoshelevu anaoutarajia kutoka kwa mwanaume au mwenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Kutokana na uhitaji na shauku ya kutaka kuwafikisha...
  15. Kamanda Kazi

    Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    Jamani eeh, Sina fedha wala dhahabu ya kuwapeni wenye tatizo la upungufu wa damu kama vile wagonjwa na wanawake wenye ujauzito, ila nilicho nacho leo nawapa. Niwapacho ni maarifa ya kutengeneza juisi ya matunda na mboga ya majani iliyosheheni madini ya chuma (Iron Galore). Juisi hii ina...
  16. Kamanda Kazi

    Unene Uliopitiliza (Obesity)

    Watu wanene au wenye Fetma (Obesity) hukumbwa na hali ya kupenda kula kula au kwa maneno rahisi shauku ya kula. Ndio maana licha ya kujitahidi kufanya mazoezi au kufanya diet unakuta mhanga wa tatizo bado anaendelea kuwa na tatizo. Wengi wamefikia hatua ya kukata tamaa na kujiona ndio basi tena...
  17. Kamanda Kazi

    Nahitaji Used Sofa Set Moja

    Yeyote aliye na sofa set used na anauza, tuwasiliane kwa simu 0688308840
  18. Kamanda Kazi

    Mambo ya kufanya kuondokana na tatizo la Obesity

    Nitaeleza namna ambavyo watu wanene wanavyoweza kupunguza uzito na kuendelea kuwa na uzito unaoendana na urefu wa miili yao (Body Mass Index – BMI). Kabla sijaeleza mambo muhimu ya kufanya ili kuondokana kabisa (100%) na Tatizo la Fetma au Unene uliozidi napenda nitoe angalizo kwa wale...
  19. Kamanda Kazi

    Natafuta Essential Oils

    Natafuta Essential Oils kama vile Jojoba, Sandalwood, Lavinder, Flax seed oil, nk. Kwa ambaye anajua mahali naweza kupata tafadhali anitumie msg kwa simu 0688308840
Back
Top Bottom