Search results

  1. Tiba

    Ethiopia: Updates on war against TPLF

    Misri ni kati ya nchi zinazowapa support Watigrayi kwa sababu ya Bwawa la kuzalisha umeme ambalo Abiy amelirithi kutoka utawala uliopita
  2. Tiba

    KKKT Mashariki na Pwani lawamani kwa kuhamisha hovyo Wachungaji

    Huyo Malasusa ametokea kuwa kero ingawaje yeye ndiye kiongozi wa Dayosisi. Amefanya madudu mengi ya ovyo lakini inaonekana waumini hatuna ujanja wa kumtupa nje. Nakumbuka mwaka fulani alikataa kusoma waraka wa maaskofu wakati wa Pasaka baada ya kutishwa na Makonda kwamba waraka ukisomwa na...
  3. Tiba

    Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Tuwekeeni link ya kuangalia mechi kupitia mtandao
  4. Tiba

    Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Aibu. Na bado tunasema tunayo wizara ya michezo na utamaduni. Kazi yao imebaki kuwafungia wasanii tu basi.
  5. Tiba

    #COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

    Alitangaza yeye kwamba amepata chanjo na hakuna aliposema na kaka yake pia alipata chanjo. Tusichanganye mafaili
  6. Tiba

    Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

    Jamani mbona Yanga wanacheza mpira wa ovyo namna hiyo? Wana nini leo?
  7. Tiba

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Weka link ya hiyo public address hapa
  8. Tiba

    Uchaguzi 2020 Vyama pinzani badilikeni, uchaguzi ni matangazo wekeni picha za Wagombea wenu mitaani

    Tutamjua siku hiyo hiyo ya kupita kura 😎😎😎
  9. Tiba

    Uchaguzi 2020 Vyama pinzani badilikeni, uchaguzi ni matangazo wekeni picha za Wagombea wenu mitaani

    Tunasubiri kwenye sanduku la kura. Mwendo ni mafiga 3, Rais, Mbunge na diwani. Mabango tumewaachia wanaofikiri mabango yanapiga kura😎😎😎
  10. Tiba

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mpigie simu Nkurunziza wa Burundi umuulize akwambie nini kilichomkuta😎😎😎
  11. Tiba

    Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

    Mbowe amewapa dakika 15 TBC waondoe mitambo yao Mara moja.
  12. Tiba

    Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

    Ndicho kinachofanyika. Badala ya kutuacha tusikilize hotuba zao wanaingilia na kuanza kutoa uchambuzi. Halafu camera hazituonyeshi umati wa wahudhuriaji na hakuna TV station nyingine yoyote inayorusha matangazo hayo.
  13. Tiba

    Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

    Mwenye link ya internet kushuhudia mtanange online atuwekee hapa. Tiba
  14. Tiba

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ndugu yangu wewe upo wapi mahitaji kioo cha TV inch 55 tafadhali. Tiba
Back
Top Bottom