Sasa hivi hakuna ujasiri tena wa kimsimamo. Mtindo uliopo sasa nikuvizia kusubiri tamko la AU na sisi tujichomeke humohumo. Hakukuwa na lolote kwa Ivory Coast wala Madagaska mpaka ulipotolewa msimamo wa AU ndiyo unamuona Membe anaibuka nalo. We exist without loci Tumekuwa bendera fuata upepo.
Nakubaliana nawe. Hii ni changamoto ambayo inatakiwa iangaliwe pia kwamba sheria inawapa mamlaka ya kulitekeleza hilo. Ila mazoae ndiyo tatizo. Ni wakati sasa wa TANROADS kutekeleza pia role of monitoring the practices that reduces capacity of the carriageway na kuchukua hatua stahili kama vile...
Nakubaliana na wewe na ndiyo taaluma ya biashara inavyotakiwa usisubiri ufe kifo cah mende bora nusu shari. Hii ndiyo press release iliyokuwepo kwenye wesite yao:
Swali la msingi ni kuwa hivi kweli ikiingia serikali makini ikakata mianya yote ya "kipato cha ziada" na kulazimisha watu kuishi kwa malipo yao ya mwezi, wangapi kati yetu wataipigia kura serikali hiyo?
Kama kuna wapiga kura wa dhati kabisa wenye kupiga kura kwa dhamira halisi inayosukuma...
Nadhani tatizo siyo mchezaji wa bei gani kwani bei nyingine huwa haziendani na jinsi mchezaji atakavyokuwa kama Shev aliponunuliwa na the Blues. Kubwa ni kule kutokuwa na wachezaji mbadala ambao pindi ikitokea mmoja anumia basi pengo lake linaweza kuzibika with consistence hasa pale nyuma na...
Mfa maji haishi kutapatapa. Kwa mantiki ipi CECAFA ikubali kutoa pesa zaidi ya zile anazozawadiwa mshindi labda kama inaongozwa viongozi wa aina ya Yanga. Kwa madai ya kiasi hicho Yanga ilikusudia kukwepa kucheza kwa kudai kisichowezekana
Katika jamii yoyote unapokuwa na wanachama wasio na vision na uongozi ambao ufanisi wao unapimwa kwa vigezo holelaholela ndiyo matokeo yake yanakuwa kama ya Yanga kukimbia mechi. Ni matunda ya utamaduni wa hizi klabu zetu ambapo Kiongozi anapimwa ameongoza vizuri kwa kutengeneza mazingira ya...
Kila wakati tender inapotangazwa inaambatana na vigezo kadhaa vya tender mojawapo ni kuthibitika kuwa anayepewa kazi ana usajili wa BRELA na ana-valid business license. Kasumba au ujinga tulionao wengi wetu kwenye hizi ofisi za uma ni kuwa strict na ku-screen tender za watanzania wenzetu na ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.