Search results

  1. M

    Zimebaki Siku chache aidha Watumishi wafurahi au wanune

    Ha haaa stress mbaya sana dah
  2. M

    Nilipokuwa mdogo nilijua hivi

    Nlijua wenye vitambi hawahisigi njaa
  3. M

    Pitia hapa utoe maoni juu ya ubunifu huu

    Biriani vipi zinapatikana pia kwake?
  4. M

    Nimegundua usaliti alionifanyia mke wangu kumbe watoto sio wangu!!!

    Mkuu komaa na hilo sharti la pili naona lina mashiko kuliko hilo la kutoa kafara viumbe wa Mungu wasio na hatia.
  5. M

    Dawa dhidi ya marafiki wabaya wa mke wangu imepatikana, jaribu na wewe huko

    dah hii kiboko kama hutajali tupia vi picha vyao mkuu
  6. M

    Kuanzia leo usiku na kesho mademu wataliwa hatare

    😅😅😅😅😅😅
  7. M

    Mkopo wa haraka

    huyo anatafuta mteja wa simu kijanja
  8. M

    Nape na Bernand Membe watibuana, kisa kugoma kuachiana jimbo la Mtama

    membe angehamia ACT atangaze nia ya uraisi apambane lowasa anaweza shinda
  9. M

    Utani kidogo ila kweli kwa wanaume wote

    Kwetu sumbawanga ukimpa ujauzito mdada ukamtema unabebeshwa mimba wewe unatengenezwa hips lazima ujirudi tu na utangaze ndoa
  10. M

    Nunda (22) Mungu amepotea.

    Ha haaaa
  11. M

    Raia wa Kuwait anaswa JNIA akijaribu kusafirisha kenge hai 149

    bebeni hadi mende na nzi mtubakizie senene na kumbi kumbi wanatosha
  12. M

    uombaji papuchi kwa baadhi ya makabila

    WAHEHE utasikia be segito tupelanage ifinono
  13. M

    BAWACHA wawasha moto Munduli

    jimbo la monduli linahitaji ukombozi wananchi wake tuko chini ya intarahamwe
  14. M

    Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    usihofu ndugu kwa maelezo yako tu tayari umeshapata kazi automatic, subiria tu mshahara mwisho wa mwezi
  15. M

    Procurement and supply jobs

    utapewa ushirikiano kupata kazi ya kichwa
  16. M

    KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

    hapo kuna gharama za umeme, mchango wa kwaya itakayokuwepo siku hiyo, cheti cha ndoa na sadaka kwa ajili ya huduma. Hela ndogo sana hiyo ukilinganisha na uzito wa jambo lenyewe......mbona mnagharamia kumbi,vinywaji,vyakula mc na music,usafiri tarumbeta nk hamji kulalamika kanisani ndo mnataka...
  17. M

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    mwambie aje jumatatu aanze kazi,aje na recent pasport size mbili black and white:flame:
Back
Top Bottom