Search results

  1. K

    Celtel Kulikoni?

    Kama vile ulikuwepo baba,,,,, Tax Holiday for 5 years halafu watakuja na jina lingine,,,, Wadanganyika tunakodoa mimacho tu,,,
  2. K

    The road towards 2010 Elections

    Jamani mbona tunajaribu kufananisha vitu ambavyo havilandani, JMK na Mwalimu! Wapi na wapi jamani,m. Wakati Mchonga aliwaita na kukemea na hata kulambwa bakora (kama hamna taarifa Waziri mmoja liwahi kuchapwa na Mchonga enzi hizo) Jamaa yetu yeye kimya tu! Na bado wanatamba tu bila kufanyiwa...
  3. K

    Akilala anawaota ma-ex wake

    Nilipita mahali kwenye kurasa fulani nikaona haya,,, Ndoto ni marudio ya ama yale uliyokwisha yatenda au unayotarajia kutenda,,,, Ingekuwa ni upande wa pili si mtu angepigwa na mwiko,,, hata hivyo jamaa mvumilivu,,, muulize hajarusha ngumi siku aliposikia rafiki yake natajwa kwenye makasheshe?
  4. K

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    Its Shame!!!! Ina maana kama mkeo anarudi usiku ndo uwe kicheche hivyo? Huyo anaweza kuwa mwanao,,,, acha tamaa,, shindwa na ulegee,,, kila mahali
  5. K

    Natafuta Mme !

    Na hata hujawahi kuwa na mchumba? Na hata hawakusalimii? Tafuta kungwi akufunde namna ya kuaproach. Vidato wala degree huku hakuna mama,,,, tafuta uwezo wa mume mwenye uwezo wa kuongoza familia. A man success is not how much money he has but what kind of family he has brought up.
  6. K

    Tell dem da trut

    Haki, this was the problem,, let the kids know the truth,,,, hahahaa,, nafikiri mama alizimia. Inanikumbusha jamaa zangu Manjeree (Maasai) Wnapenda sana kuoga pembeni ya barabara wakati wa mvua,,, huwa wanawajibu nini watoto wakiwauliza hiyo ni nini hapo katikati,,, mkono ndogo,, mbado kujua
  7. K

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Yeah, ndiyo Tanzania yetu,,, yenyekuhitaji wataalamu warudi nyumbani,,, kufanya nini? Masau na wenzako mnaonyesha ni jinsi gani mnavyojali baba zenu, mama, dada, kaka, watoto wenu,,, Maskini wee binadamu hawa walioko madarakani hawaoni,,,ingawa macho wanayo,,, hawasikii ingawa maskio wanayo...
  8. K

    The problem with MUHIDINI ISSA MICHUZI

    Sioni Sababu watu walumbane. Ni haki ya kila mtu kujua. Kama wewe hutaki mwenzako ajue kwa nini ujibu mambo yasiyofaa. Tuache ubinafsi. Uvivu unatokea wapi hapa? Issa waridhishe wadau wako. Wanakujali ndiyomaana wanakuulizia.
  9. K

    The problem with MUHIDINI ISSA MICHUZI

    Ni kweli www.michuzi-blog.com ina shida. Why it keeps asking you are not allowed to view this site. Something wrong?
Back
Top Bottom