Search results

  1. Companero

    Jeremiah Kasambala na Lucy Lameck wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara?

    Salaam WanaJF, Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja. Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii? Shukrani, Companero
  2. Companero

    Investing in National Airlines in Africa is a cockroach idea

    Cf. Aviation: Africa’s national airlines have no chance - ATQ News
  3. Companero

    Investing in National Airlines in Africa is a cockroach idea

    "Lastly, since the US Airline Deregulation Act 1978 which has become a pillar in the history of economy policy — the experiment that broke the deregulation ground in all sectors, countries continue to deregulate their domestic airline markets through open skies agreement.In Africa, we have the...
  4. Companero

    Investing in National Airlines in Africa is a cockroach idea

    "In Africa, out of a population of around 1.2 billion people African air travellers only form a paltry 12 percent of the world’s total air travellers, so any government establishing a national carrier as a public policy intervention is using an elitist approach. Second, African countries are...
  5. Companero

    Investing in National Airlines in Africa is a cockroach idea

    "First, economist Alfred Kahn who led airline deregulation in the US in the late 1970s under the Carter administration described airlines as marginal costs with wings and saw the sector as a societal aspiration for the rich people to fly around the world" - Africa’s national airlines have no...
  6. Companero

    Investing in National Airlines in Africa is a cockroach idea

    "Paul Krugman, 2008 economics Nobel Laureate and prolific New York Times columnist narrates how as a young man he went to work for Government and an old hand, presumably a senior government economist, explained to him that their job was mostly about fighting bad ideas. The bad ideas, the old...
  7. Companero

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Sawa, Rais MJ-NN, aka Baba Kabula. Nasikia kitovu kimehama Chatoville.
  8. Companero

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Naam, MJ, Mwenyekiti Wetu wa Wabeba Maboksi GA.
  9. Companero

    Home of AC Milan, Official Thread

    Naona Gang Chomba kimyaa, kaufyata
  10. Companero

    Ni Daktari gani aliyemshauri Hayati Magufuli kugombea Urais?

    Pole, Mkuu, ila hili tatizo lilikuwa linajulikana muda mrefu tu kwa hiyo hakuna aliyeshtukiziwa huko kwenye kitengo, miye nililisikia kwa wazee wetu wa Chuo Kikuu cha Dar waliomchangia matibabu enzi hizo, pia nadhani unajua kuwa UVIKO ni hatari sana kwa moyo, rejea...
  11. Companero

    Home of AC Milan, Official Thread

    Gang, bana, yaani bila Dinho ninyi mbendembende tu, mnatolewaje na Manure tena mkiwa na Ibra?
  12. Companero

    ‘Fixed’?

    MJ, nakuja tu kukutembelea rasmi tujadilia maisha baada ya...
  13. Companero

    ‘Fixed’?

    Naona umeamua kuhamia kwenye preemption. Vipi hapo GA? Nakuja mitaa hiyo nikishapata Moderna, tusikimbiane!
  14. Companero

    Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

    Inasikitisha kwa kweli!
  15. Companero

    Ufafanuzi: Kuvunjwa Halmashauri ya Jiji la Dar kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji

    Malizia basi kwa kusema kuwa sasa Mkoa wa Dar Salaam uunaundwa na/una: 1. 2. 3. 4. 5.
  16. Companero

    Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

    Mimi ni mzee siku hizi, pia sipo huko Tanzania.
  17. Companero

    Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

    Naam, wazee wanajikinga sana wanaangushwa na vijana mlioenda kuhesabiwa kwenye North Migration, mnaoshiriki marathon na kujirusha kwenye mabonanza bila kuisahau dola ndumilakuwili.
  18. Companero

    Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

    Blaming the victim ni kuchukulia kuwa kuchukua tahadhari na kujikinga ni jukumu lao wenyewe hao senior citizens - ni jukumu la wote, dola inayombwelambwela na ninyi madogo mnaojirusha kidimbwi kisha mnarudi na uviko-19 aina ya sauzi nyumbani kuwaambukiza wazee wetu.
Back
Top Bottom