Ndugu mwanaJamiiForum,
Kaka ww unaplan ya kufungua saloon nauza saloon complete..
1. Kiti cha kunyolea
2. Kiti cha kukalia watu watatu
3. Vioo full set
4. Mashine moja ya kunyolea
5. Mlango wa fremu
6. Other accessories za kunyolea.
Vitu vyote ni vipya unachukua na kuanza kazi.
Bei Jumla...
Natafuta binti wa kuoa. Kama uko serious karibu DM.
Nakaa dsm, Kwangu/Nmejenga
Miaka 31
Kazi- Nmejiajiri kwa sasa ..ila professional yangu ni Engineer.
Sifa za msichana.
Awe anakaa dsm.
Miaka 22-28
Karibu Dm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.