Search results

  1. R

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Msaada kwa mtu yeyote anaye jua Biashara hii ya Vinywaji vikali na Luxury (mf. wisk na wine) Naomba anieleweshe kwa kina.Mimi nipo hapa Dar na mtaji wa million 5. Vitu ninavyohitaji kufahaumu kwa kina ni:- 1. Mtaji wa kuanzisha duka la biasahara hii (initial capital. 2. Mazingira yanayo faa...
  2. R

    PPF wameita interview

    Jamani kwa anae jua aptitude test za PPF zinavyokua au zina base on what, anisaidie kwa kunipa HINTS.
  3. R

    PPF wameita interview

    Mkuu ni eneo gani interview inafanyika,Na ni muda gani inaaanza? maana mm sijasikia vizuri. Hivi Aptitude test zao zina base sehemu zip?
  4. R

    Masters study!

    Acha uswahili, elewa swali kama hujui kaa kimya kwani sikuhitaji coments bali nilihitaji anaye jua ndio anieleze.Acha kimbelembele utabakwa............
  5. R

    Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

    Wewe si KILAZA ndio maana huwezi jua. kama vip igilizia.Na hako ka elimu kako si umepata kwa kupiga chabo. Mzee wa kukopi na kupesti........................ni Bonge la kilaza hadi akili zimezeeka,,,,............
  6. R

    Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

    Kwa anaye fahamu hili naomba anielewesha tafadhali. Hivi kwa mtu mwenye level ya elimu ya post graduate diploma au masters mishara yao ni sawa au tofauti? Kwa anaye fahamu kwa kina zaidi naomba anieleweshe zaidi hasa kwenye taasisi za serikali na makampuni binafsi.
  7. R

    Masters study!

    Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya kutotimia vigezo vya kuwa na walimu wa kutosha wa kufundisha POST GRADUATE lakini wao wanaendelea kudahili...
  8. R

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Wachunguzwe haraka sana,kwani walianza kuonesha dalili za ufisadi tangu wakati wa usimamizi mpaka wakati wa matokeo.YAAANI NI MADUDU TUPU YENNYE HARUFU MBAYA.hii nchi kweli kuna UPANYALISM.Hivi kupambanda na RUSHWA INAANZA NA WEWE AU NA MIMI. Napendekeza machakato uanze upya kwani kuna...
  9. R

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Wachunguzwe haraka sana,kwani walianza kuonesha dalili za ufisadi tangu wakati wa usimamizi mpaka wakati wa matokeo.YAAANI NI MADUDU TUPU YENNYE HARUFU MBAYA.hii nchi kweli kuna UPANYALISM.Hivi kupambanda na RUSHWA INAANZA NA WEWE AU NA MIMI. Napendekeza machakato uanze upya kwani kuna...
  10. R

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Wachunguzwe haraka sana,kwani walianza kuonesha dalili za ufisadi tangu wakati wa usimamizi mpaka wakati wa matokeo.YAAANI NI MADUDU TUPU YENNYE HARUFU MBAYA.hii nchi kweli kuna UPANYALISM.Hivi kupambanda na RUSHWA INAANZA NA WEWE AU NA MIMI. Napendekeza machakato uanze upya kwani kuna...
  11. R

    Sekretariet ya ajira sina imani nao tena..!

    Kwa malalamiko yako sawa ila kwa ushauri wako wa kusema kua ziludishwe huko chini ni ovyo.Unajua tuwe wa kweli hawa jamaa wamejitahidi sana ktk kusimamia na vijana wengi ambao hawa baba wala ndgu wa kuwa beba wamepata ajira.Hivyo hizo ni changamoto ndogo ndogo ammbazo zinasababishwa na serikali...
  12. R

    pccb usimamiz majanga

    Ndio, na ndio wengi watakao perfom coz walikua wanajua maswali yote na kuwa na uhakika wa kitu gani wanaenda kuulizwa na majibu yake.Kama ni uongo fuatilia majibu au nenda kaulize walio sahihisha watakupa haya ninanyo kuambia
  13. R

    pccb usimamiz majanga

    Mimi nashauri paper iludiwe kwa kuzingatia yafuatayo: 1.Aptitude Test isimamiwe na PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) wana uzoefu wa usimamizi na wapo seriouis na kazi, 2.Mahali pawe DUCE ambako idadi yote ya watu 3000 itatosha, 3.Majina yabandikwe ubaoni na namba zake ili kila mmoja...
  14. R

    pccb usimamiz majanga

    Hivi lini tanzania na taasisi zetu tutakua sereous kwenye issue muhimu kama hizi? Mnajua kabisa ajira shida ss kwenye ajira kama hizi ambazo wengi wanategemea ,wanashindwa kusiamamia.Jamani rudieni Hiyo paper ili iwe fair.kwa kweli mmechemsha kwenye usimamzi. Dr. HOSEAH Take action immediate
  15. R

    pccb usimamiz majanga

    Na ww si ndio wale wale mliopiga chabo na ku google.Yaani mlihamisha kila kitu.Hapo watapata vilaza tupu na walio stahili wataachwa
  16. R

    pccb usimamiz majanga

    Kweli pccb kwenye usimamizi wamechemsha saana, pale hakuna kitu kwani haiwezekani paper hiyo moja wanafanya shift mbili ni sawa na paper kuliki kwani walio ingia mara ya pili walikua wanajua nn wanaenda kuulizwa.It wasnot fair,kama vp iludiwe na wajipange vizuri.
  17. R

    Aptitude test pccb based on accounting proffesionals

    Asalaaaaaaam wana JF, kwa anaye faham kuhusu aptitude test za pccb hasa zina base kwenye vitu gani kwa kada ya account ili kufanya maandalizi vema.Pls kwa anaye fahamu atoe hata Hints hapa, kama ataona haifai kutoa hapa basi ani PM.Kama unafahamu basi tafadhali toa hapa kwani hata maandiko ya...
  18. R

    CRDB BANK customer care jirekebisheni

    Kweli tubalike hasa kwa hizi Bank kongwe kwani hata NMB wanatabia hiyo hasa pale watu wanapopanga mstari kwa ajili ya kuweka pesa utakuta watu wengi ila Bank Teller 2 then utakuta huyo mmoja anaondoka anaweka TEMPORALY CLOSED, Watu wanasubilishwa zaidi ya masaa matatu hawajali na viongozi...
Back
Top Bottom