Alikuwa kiongozi mzalendo mno. Hakutaka nchi iingie katika gharama kubwa za Msiba wake ndiyo mama alitaka asafidishwe na vufaa vya kitabibu vya kushikulia upumuaji ili akifika Chato waviondoe. Hatutakaa tumpate kiongozi kama huyu milele. Narudia hatakuwepo tena.
Tunaomba mtutajie majina ya hilo genge ovu ambalo halikumtaka kabisa Makamu wa Rais aongeze nchi. Tuanzie hapo na tujue kwa sasa wako wapi kiuongozi chamani na kiserikali. Ni muhimu wajulikane kinagaubaga.
Mimi ni Mkristo Safi kabisa ila kwa hili hakuna tabu. Yeye amemuwakilisha boss wake kwenye hiyo shughuli ya usomaji wa vitabu vyao. Sasa ulitaka awaambie watoto wakasome Biblia wakati ni Waislam? Hata Sisi Wakristo tunakazia watoto wasome Elimu dunia na dini pia. Ndiyo maana kuna mafundisho ya...
Kuhusu vyakuka vilivyooza Mimi Zogwale ni shuhuda wa niliyofanyiwa na Morena hotel Morogoro. Nililala pale siku 2. Siku ya pili nikaagiza local chicken makange na mashed potato room service. Baada ya kula ikaopita nusu saa nikaanza kutapika Sana na baada ya masaa 3 nikaanza kuharisha vibaya...
Tinder ni online dating site. Kule kuna wanaotafuta wanaume wa kizungu ili kuolewa na kuna wako huko kuuza ngono online au physically kama wako nearby. Sasa umeshafahamu wa kwako yuko kundi lipi? Na ukweli kama ameingia tinder ujue wewe ni option sasa anatafuta real na possibly mzungu. Piga...
Yaani mkuu nimecheka hapo uliposema lugha yao ni ngumu kama unaitwa Kurwa usiende Poland. Nacheka hadi muda huu. Kweli kuna lugha za mstaifa ngumu Sana ikiwemo Polish na Finnish, pia Kituruki (Turkish) si mchezo kabisa. Ila kila kitu ni kukomaa tu mpaka utoboe.
Mabishano haya yalipelekea mpaka kutuhumu NECTA kuwa wanapendelea wakristo na Shule zao za kikristo kwa kuwa imekuwa ikiongozwa na Watendaji Wakristo. Sasa wameweka Mwislam lakini mbona mambo tena yanakuwa hovyo kabisa
Katika orodha ya shule 50 zilizofanya vizuri matokeo kidato cha 4...
Aisee. Kwa hiyo Babu Tale alitudanganya aliposema wazi live katika media kuwa Diamond na Zuchu ni wapenzi? Ukweli kiapo cha Freemason hakiwezi kuruhusu Diamond kuoa. Nimekubali yaishe. Sorry for Zuchu.
Inaitwa Red Eye na inakuwepo kwa msimu. Ile inaambukiza hasa kwa wenye makundi Sawa ya damu. Kwa watoto wanapona haraka Sana ndani ya siku 2-3 Ila mtu mzima wengine wiki na zaidi. Macho yanauma mchangamchanga ndani na Mwanga ni Shida kuangalia. Machozi ya Uhakika. Tiba asili ni kuosha macho na...
Nataka tu niseme kwamba hakuna shule yenye mazingira mazuri na usafi wa hali ya Juu kama Mazinde Juu. Narudia haipo. Mabweni utafikiri ni hotel, usafi wa ndani na nje hakuna mfano. Nimebahatika kutembelea shule nyingi hizi mnaita za kishua lakini hakuna mfano wa St. Mary's Mazinde . Nilifika...
Mzazi huyu anaweza kuwa na Jambo la msingi ila hakuweza kukiwasilisha vizuri. Ni hivi hizi shule za private ambazo ndizo mara nyingi zinafanya vizuri zina Ada kubwa na sehemu ya Ada inaonesha inaenda kwenye huduma muhimu kama chakula. Matokeo yake wanaopewa kuongoza hizi shule wanakuwa wapigaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.