Search results

  1. S

    ni fanye nin kuhusu mke wangu?

    pole na kilichokupata lakin upande wangu chukulia poa na uendelee nae wala ucmwambie chochte ni hatar je umezaa nae na hiyo mimba miez mingapi
  2. S

    Niko njia panda

    ninavokutazama moyoni unataman aachane na mkewe uolewe ! mapenzi yanakasumba ya kufisha utashi na nafs ya utambuz na hivo kwa sababu anakuridhisha unaona ndo chaguo lako napenda kuvunja mipaka yako na kutoheshm hca zako kukwambia kwamba aina hii ya mahusiano ni utumwa kwako kwan unatakiwa...
  3. S

    Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

    ukweli ni kwamba kumzooea mchumba wako kupita kias utadhan kesha kuwa mmeo c jambo la busara lazma utofautishe mme na mchumba; uckatishwe tamaaa na waliyokwisha kata tamaaa tunza thaman ya utu wako ili uonekane mpya kila cku kwa mtarajiwa wako ijapokuwa kila mtu ana mtazamo wake ila kwa kiac hii...
  4. S

    Polisi wadaiwa kuua raia Mbeya.

    hii ni mbaya sana na kimcngi c hii moja zipo nyingi watanzania tuwe macho kujua haki zetu na wajibu wa polic c jambo jema mwana usalama kusababisha kifo cha makusudi
  5. S

    MATOKEO FORM IV - SEMINARY...Something have to be done

    Sure is something we have to look bravely
Back
Top Bottom