Search results

  1. N

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mwanakijiji anafaa sana kwa wakati huu kutoa maoni yake katika hili la kufutwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar..
  2. N

    Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    MMM umetoa maelezo mengi ila kuhusu usafi wa dhamira ya Dr Slaa jana sikuiona na hakika amenisikitisha sana kwa yafuatayo; 1. Kutokuwa focused na sababu za msingi zilizomfanya kutokukubaliana na wenzake katika KK ujio wa Lowasa 2. Kufanya propaganda nyingi kuhusu tuhuma za ufisadi za Lowasa na...
  3. N

    Dr. Magufuli aongezewe washauri, anakwenda mrama

    Magufuli ana timu mahiri sana ya kampeni ikiongozwa na Kinana na akina January..... Tatizo sio magufuli kukosoa au kushangaa bali ni UKAKASI WA MATENDO YA SERIKALI YA CCM inayojaribu tena kuwaghilibu wapiga kura. Magufuli UONGO hawezii kwa hiyo anatemaa MAKAVUUU LIVE....
  4. N

    Big results now! Malaysia na Tanzania

    Serikali duniani kote lazima ionyeshe njia na kusimamia kwa dhati mipango yote yenye lengo la kuleta maendeleo kwa watu wake. Tabia zote tulizonazo watanzania zinatokana na mwenendo wa aina ya uongozi tulio nao. Usitegemee popote duniani wananchi kujiletea maendeleo bila kuwa na UONGOZI WENYE...
  5. N

    Unafikiri wakazi wengi wa Dar wana madudu gani Kichwani?

    Kweli yaonekana kuwa watanzania wengii tuu mazuzu...lakini hawa tuliowapa fursa ya kutuongoza (kututawala) wamepata wapi werevuu ghafla wakutukandamizaa namna hii ili hali wanatokana na sisi???????? Au kuna pepo wanawaingia ghafla wapatapo fursa na kuanza kung'amua jinsi ya kututenda sivyoooo!!!?
  6. N

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kuongezeka kwa chuki dhidi ya utawala wa Rais Kikwete anayemaliza muda wake kulikotokana na kuongezeka kwa hali mbaya ya uchumi kwa jamii ni moja ya chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa mashabiki wa kisiasa wa Mbunge wa Monduli Edward Lowassa katika harakati zake za kutaka kogombea uraisi. Idaidi...
  7. N

    Kilichomkuta Zitto: Kuna mkono wa Mtu! Yajue makundi 10 ya wanaompinga Zitto...

    Anguko la ZZK ndani ya CDM kalitengeneza mwenyewe kwa kiasi kikubwa na kuwapa nafasi maadui wake wachache nje na ndani ya CDM kumsulubuuu. Alipofungua kesi kuzuia KK au BARAZA KUU la CDM alijua fika atafanikwa kwani mahusiano yake ya karibu na watawala yalimpa uhakika huo. Siasa ni mchezo na...
  8. N

    EU statement on the closure of The East African

    Tukijitambua kama Taifa ndipo kauli kama hizi tutaweza kuzikabili kwa ujasiri! Ni kweli EU wanaingilia mambo yetu ya ndani lakini ni sisi wenyewe (kupitia viongozi tulionao) tuliowapa fursa hiyo.
  9. N

    Wabunge teteeni wazawa sio wazungu kwenye IPTL

    Kumbe singa singa wa PAP mwenyeji wa IRINGA!!!!
  10. N

    Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

    Huwa sipati jibu rahisi kwa nini hatuko hata pro active kutambua fursa zilizopo na kuzichangamkia! Yaani dangote kutaka kuzalisha umeme mtwara ni news wakati source ya power hapo mtwara ipo waaaaaziiiiiiii. Je kwa upande wa serikali mipango ikojee kukamilisha matamanio hayoo kwa haraka? Isaidie...
  11. N

    Rais Kikwete amuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Ikulu Desemba 02,2014

    Hongera Prof Assad. Natumai utazingatiaa maadilii ya kazii. Yale malalamiko ya upendeleo wa udini yasijitokezeee
  12. N

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Mwanakijiji unamaanisha una sympathize na Mahakama au ndo kutupa somo pana madhara ya mihimili hii mikuu ya dola kusigana na hatimaye sasa KUDHARAULIANA Kwa masilahii binafsi????
  13. N

    Ni kweli pesa za Escrow ni za vikao vya Harusi ?

    Kudai fedha hizo ni za harusi ni dharau kwa umma wa watanzania hasa wale wengi wanaotabika na kukosa mahitaji halali ya kijamiii. kwa kauli hiyoo tuuu inaondoaa utu wa kitanzania
  14. N

    Timu ya Kampeni ya Pinda Mizengo Wasambaza Waraka Makanisani

    Hivi Pinda mwaka huu ndo alihutubia Baraza la Iddi Kitaifaaa??
  15. N

    Sababu ya Kikwete kupokelewa kama mfalme China hii hapa

    Afrika ni shamba la bibi kila mwenye hila na nguvu anakulaa kwa urefuu wa kamba yake!!! Ndio Ulaya na Amerika wamefaidii sana na wataendelea kufaidi rasilimali za Afrika ila kwa sasa wamepata wa kuwanyanganya tonge mwenye kuacha maumivuu makali zaidii kwa Afrika! China imewezaa kiujijenga na...
  16. N

    Televisheni Zetu zijifunze kutoka Kenya: Zina ubora na ufanisi wa hali ya juu sana

    Binafsi huwa nafuatilia sana matangazo ya TV Kenya haswaa kituo cha Citzen, hakikaa wako makini na weledi wa kutosha. Sijui media zetu (TV) tatizo ni uchumii mdogo au bado utayari wetu wa kufanya mambo kwa viwango vya kuvutia!? Maana hata uvaaaji tuuu wa wasoma habari hapo TBC 1 duuuh! Au hili...
  17. N

    Watanzania, Ni vigumu Kumsahau Lowassa

    Hivi ni kweli Membe anatamanii kugombeaa Uraisi ndani ya CCM?? Taifa hili limeporomoka sana katika medani za kidiplomasia chini ya uongozi wa Membe kama Waziri wa Mambo ya Nje!!!!!
  18. N

    Watanzania, Ni vigumu Kumsahau Lowassa

    Kwa ushindani wa kisiasa ndani ya CCM ya leo hakuna wa kumshindaa LOWASA. Ila wakitumia mizengwe na mbinu zao za kukomoanaa basi upinzani kwa Lowasa utakuwa mkubwa. Hakika mpaka sasa LOWASA anawasumbuaa sana wapinzaniaa wake kisiasa ndani ya CCM.
  19. N

    Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Lowassa anawasumbua sana washindani wake kisiasa ndani ya CCM. Nawashauri washindani wake kujipangaa vilivyoo kukabiliana naye kwani yaonekana ndo mgombeaa pekee CCM mpaka sasa aliyeonyesha nia kwa kusukumwa na utashii wake mwenyewe..
  20. N

    Tajiri maarufu Rombo Justini Kavishe afariki dunia ghafla!

    Kwa aina ya hao uliowatajaa nasita kujiita bilionea mimi!!!
Back
Top Bottom