Search results

  1. C

    Mchango wa ushuru wa vibanda vya biashara (magenge) Mshangano Songea umetusikitisha

    Hatujaisikia tena ila hali hii inatukatisha tamaa hakika
  2. C

    Mchango wa ushuru wa vibanda vya biashara (magenge) Mshangano Songea umetusikitisha

    Hongereni kwa ujenzi wa taifa. Leo hapa kata ya Mshangano Songea afisa mtendaji ametangaza ushuru wa magenge ya mitaani shilingi elfu moja kwa siku. Yaani kwa mfano wewe hapo nyumbani kwako uweke genge dogo la kuuzia nyanya,mbogamboga, vitunguu nk ili kurahisishia majirani wasifunge safari ndefu...
  3. C

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Acheni kutumika na chama. Nchi hii ina vyama vingi lakini cha ajabu mnarusha sana tena live matangazo ya chama.Ondoeni kipindi cha chereko, hawavumi, uchumi wa viwanda na vyote mnavyoona havina msisimko kwa jamii. Mkitumika kwa usawa bila kujali chama na ilani nawahakikishia Mungu atawabariki mno
  4. C

    Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    SASA MFANO HATA HUTAZAMII UTASOMESHA HAPO INAKUWEJE JE?
  5. C

    Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    KODI ZETU SI NDO ZINATAKIWA ZIFANYE YOTE HAYA?
  6. C

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Bei zenu za vifurushi bado vipo juu sana hatari. Bora mpunguze Meseji lakini MB ni ziwe nyingi za kutosha
  7. C

    Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    Za leo wadau. Hapa Mshangano kumekuwa na huu mchango wa shilingi elfu sita kwa kila kichwa ili kujenga shule. Shule imeshajengwa na sasa kuna makerebisho madogomadogo kama kuongeza madarasa na kadhalika. Sasa swali langu ni je? Ni halali watu kusutwa kwaajili ya michango hii au kutoa mchango...
  8. C

    Kula sana kupita kiasi husababishwa na nini?

    Wana jamii wenzangu, za kazi. Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu. Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile. Nifanyeje na hili...
  9. C

    Msaada: Jinsi ya kuwatambua na kukabilana na matapeli

    Wakuu,nilikuwa natoka Mshangano hapa Songea kwenda mjini kwa daladala.Nilikaa na mtu mmoja ambayo alikuwa na biblia.Akajitambulisha kwangu kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu.Kiukweli aliongea mengi kunihusu.Akasema katika simu yangu kuna M PESA TSH LAKI MBILI.Na kweli ilikuwa hiyohiyo.Akasema...
  10. C

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Hospitali ya wilaya Mbambabay Nyasa. Dawa huwa zinafikia hapo lakini ukienda wanasema hakuna dawa. Cheti kinauzwa tsh elfu sita. Ila maduka ya dawa ya madoktari na manesi hakuna dawa utakayoikosa.
Back
Top Bottom