Search results

  1. M

    uchaguzi mkuu

    Mwaka huu mgombea wetu mgeni ikulu na wao pia mgeni,patachimbika,,
  2. M

    UKAWA jadilini gharama za mgombea urais mtazigharamiaje

    swali la msingi ila majibu yake ya msingi yatatoka wakati wa msingi kwa watu wa msingi.atulie majibu yake ni makubwa sana kwake,,
  3. M

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Sisi kwetu kilombero kuna mbunge anaitwa Abdul mteketa a.k.a pedeshee yaani huyo ni zaidi ya mzigo, jimbo litachukuliwa na cdm na Tumaini letu ni kijana jembe Azizi Himbuka 2015.
  4. M

    Rais Kikwete kufuta tozo ya kodi kwa line za simu

    Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax). SOURCE January Makamba
  5. M

    Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

    are we jokin here mr. Or what?
  6. M

    Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

    hapana! 700 milioni naanzia,hyo ni pamoja na mali zilizopo shamabni yaani nyumba,kisima cha maji na genereta la umeme pamoja na miembe ya kisasa,michungwa na minazi
  7. M

    Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

    700 milioni naanzia,hyo ni pamoja na mali zilizopo shamabni yaani nyumba,kisima cha maji na genereta la umeme pamoja na miembe ya kisasa,michungwa na minazi
  8. M

    Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

    700 milioni naanzia,hyo ni pamoja na mali zilizopo shamabni yaani nyumba,kisima cha maji na genereta la umeme pamoja na miembe ya kisasa,michungwa na minazi
  9. M

    Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

    Nauza shamba la ekari hamsini lipo visiga nusu kilomita kutoka barabara kuu,lina miembe ya biashara 300,michungwa na minazi!kuna nyumba kubwa ya kuishi na servant house!liko tambalale na oevu! Kuna kisima cha pump na matank,Bei ya eneo ni maelewano! Mawasiliano yangu ni 0787 191 844 naitwa Mdoe!
  10. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    Na wewe div 5 mwenzangu kachukue DARUBINI usome upya post yangu!!!!!
  11. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    umepanic brother
  12. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    Ni ccm bt passive member.mbona wakati mwingne hujipambanua kama mwanachama mfu wa ccm!?mwalimu wako mnafiki kwa hili ijapokua anahoja sometimes
  13. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    inakuaje wakati mwingne anasema yeye ni mwanachama mfu?tumuelewe kwa lipi?msomi gani anakua na kauli zinazo kinzana?
  14. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    yeye ni ccm aache kujipapanua kama mwanaharakati huru!
  15. M

    Unafiki wa dokta Rwaitama

    ''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama. Nimeitoa...
  16. M

    Mkutano wa katiba Jangwani

    HAKIKA HII SI YA KUKOSA HATA KIDOGO MKUTANO WA HADHARA: utaanza na maandamano tokea kimara mwisho,ubungo maji, shekilango na kuishia jangwani. SIKU NA SAA: NI Jumamosi tar 21/9/2013 kuanzia saa tatu asubuhi VIONGOZI: Viongozi wote wa vyama vya siasa vilivyoungana CUF,NCCR na CHADEMA...
  17. M

    Kongamano la uchumi na ajira kwa vijana kesho jumamosi jijini Dar es salaam

    GOOD MOVE!ila publicity ifanywe kila pande sio tu humu kwenye mitandao,sio wote wanaweza kufikiwa kwa njia hii tu nashauri mngetumia na radio na tv pia nahisi itakuwa more powerful!!!
  18. M

    Mbowe, Dr. Slaa kuzindua Kanda ya Pwani Jumapili

    Huu ndo Magufuli anaosema ni wivu wa kike!
Back
Top Bottom