Search results

  1. N

    Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa. Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
  2. N

    Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

    Ni swala la kuhuzunisha kuona kila janga linawaangukia wana Kagera. Mv Bukoba, Karena. Tetemeko Kagera, Ndege Kagera. Inamfanya mtu kujiuliza: je, tatizo ni nini? Au Serikali inangalie kama ni kitu scientific na Kagera kinachoipelekea mkoa huu kuwa na majanga makubwa ya kitaifa.
  3. N

    Wenye CCM Wasiogopwe

    Hahahahahahaha
  4. N

    Wenye CCM Wasiogopwe

    Nape na January wanajiona nchi ni yao
  5. N

    Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  6. N

    Video: Sirro hawezi kujibu maswali Magumu, ashindwa kusema Taarifa za kiinteligensia ni nini?

    Siro is an empty headed idiot. Anajua kabisa taarifa zao za kiintelijensia ni kuhusu Chadema. Mbona hajawahi kupata taarifa za intelligentsia za CCM.? What a fool ?
  7. N

    Tandala Kalewa madaraka, anamtapikia mwenye Msitu

    CCM wenyewe kwa wenyewe Rahaaaa
  8. N

    Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    The arcitect of this project is a genius
  9. N

    Video: Tanzania Royal Tour

    Kama kuna Genius ndani ya Tanzania, basi ni architect wa hii film. Ndani ya Serikali, mtu aliyekuja na hili wazo inabidi apewe tuzo maalum la ushujaa. Ni wazo bora zaidi kuweza kutokea katika hii nchi maana wale jamaa wa TTB wanakula billions akini hakuna kitu kama hiki Wizara ya utalii...
  10. N

    CCM ni ya nani?

    Makamba na Nape
  11. N

    Raila Odinga

    What's the point?
  12. N

    China wakanusha vikali kuhusu kupora uwanja wa Ndege Entebbe nchini Uganda

    Kwa kipindi kirefu nchi nyingi barani Afrika zimekuwa zikiikumbatia uchina kama rafiki aside na masharti I napokea swala la maendeleo. Linalotokea Uganda, Kenya, Zambia na Angola nadhani itakuwa funzo kubwa
  13. N

    Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Kutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu. Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
  14. N

    Chinese Vs. Tanzanians. Kuna Tatizo Serikali Inalifumbia Macho

    Ndugu zangu, kuna tatizo kubwa humu nchini ya ki usalama linaloendelea dhidi ya watanzania linalosababishwa na Wachina. Katika Miradi mikubwa inayotekelezwa na Wachina kuna sehemu ndogo za Mradi ambazo zingetekelezwa na Watanzania, lakini tatizo ni kwamba, hakuna kampuni ya Kichina inayoweza...
Back
Top Bottom