Search results

  1. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kila la heri kops wenzangu. hawa jamaa wanafungika japo sijafurahishwa na uamuzi wa kocha kumuanzisha milner huku akiwaacha nje keita na jones
  2. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    UCL player of the month Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Barcelona 5 Chelsea 2
  4. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sahihi kabisa, kwa mechi ya leo Firmino na Emre Can wamekuwa na mchango mkubwa sana
  5. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Coutinho is too good
  6. L

    Dawa za magonjwa ya kuku

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Dawa za magonjwa ya kuku

    Habari wakuu. Moja kati ya vifaranga wangu anatatizo ambalo sijawahi kulisikia wala kuliona. Anajikunja na kuficha kichwa chake chini ya miguu. Leo ni siku ya pili, hali wala kunywa. Nimempiga picha lakini nimeshindwa kuzituma huku, sina uzoefu sana. Naomba msaada kwa anayelijua tatizo na namna...
  8. L

    Magonjwa ya kuku na tiba zake

    Habari za asubuhi wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Me 0787497897
  10. L

    Pikipiki Used Inahitajika

    Habari wadau wa jf. Natafuta pikipiki used. Iwe ya Kijapani au KKihindi. Nitumie private msg kama unaweza kusaidia katika hili
  11. L

    Uingereza anachapwa sasa hvi na Iceland!

    Roy Hodson kabwaga manyanga, timu inanyota ya Ukawa
  12. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    All the best brother, you are a good man
  13. L

    LEMA: Ni wakati gani Rais alipaswa kuchukua hatua?

    I will never believe a politician, NEVER
  14. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    When it comes targeting between the bars, Sturridge's accuracy is one of the best Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
  15. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa sasa tatizo kubwa in kwa walinzi wa kati. Wakcheza vizuri tutakuwa na nafasi kubwa ya kuendelea na mashindano
  16. L

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    SOSSYmwazi, asante. Lakini mimi napendelea zaidi hard copy. Nikisoma softcopy huwa nachoka sana.
  17. L

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Kama umekosa kabisa download audio version yake #animalfarm
  18. L

    January Makamba: Hata kama una vibali vya ujenzi, bomoa bomoa ni lazima

    Naunga mkono utekelezajia wa sheria ya mazingira. Tuyanusuru mazingira
Back
Top Bottom