Search results

  1. Nebby

    Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

    Hata wwatangazaji wao hjawako serious na hiyo redio si ya wale wa kulekule waliogawana huo mzigo
  2. Nebby

    Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba,mnautendea haki mkoa wetu.

    Je wangekuwa wameharibu ungejitokeza kuwalaani au kuwasema hapa jamvini au ungenyamaza kwa Kuwa ni wa kabila lako?
  3. Nebby

    Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

    Hata kama wamekosa lakini kiukweli huyo ni wizi wa mchana kweupee a cha waumbuane
  4. Nebby

    ESCROW: Majibu ya Prof Muhongo ni aibu ya mwaka kwa PAC na wasaka tonge

    Ingekuwa sio za umma kwanini TRA wanakubali kuna kodi haijalipwa. Hata kodi?
  5. Nebby

    Nifanyeje kurudisha laki saba zangu zilizopelekwa Forever Living

    Je hiyo biashara haifanani na lie ya DECI?kama haifanani auze bidhaa zake atapata faida kama walivyomwelekeza! Kama inafafana aende haraka ofisini kwa arudishe bidhaa zao wsmpe chake
  6. Nebby

    Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    Mbona Lowasa Yupo bungeni? Hiyo stori feki humkamati mtu hapa
  7. Nebby

    Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

    Ingekuwa vyema ukatudadavulia na hayo majina mkuu
  8. Nebby

    Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

    Ingekuwa vyema ukatudadavulia na hayo msjina mkuu
  9. Nebby

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

    Kwani alikuwa hajui kama kuna kesi? Pia spika huyo alikuwa na ajenda ya kulizuia bunge Hilo kutojadili hiyo hoja?
  10. Nebby

    Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    Wamezoea vya bure. Huduma hiyo ya usafiri sharti ilipiwe kama usafiri wa bure sio wapande mabasi yao!
  11. Nebby

    Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Mkuu hapo umepotoka kwani mwandishi alikuwa sahihi kwani principal officer ni afisa Mkuu
  12. Nebby

    Nimepigwa vibaya na wafuasi wa CCM - Padre Mbilinyi

    mmesahau kuwa mahali popote alipo Mwigulu lazima amani ipotee!
  13. Nebby

    Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

    kama kanuni tu wamechukua muda mrefu hivyo kwa malumbano na vijembe! je likianza kupitia rasimu itakuwaje?
  14. Nebby

    Hivi ITV wako serious kweli??

    sio kila mtu anaweza kusoma au anajua hiyo Law of Tort kwa hiyo ilikuwa wajibu wako kumwelimisha ili ajue afanyeje siku nyingine anapokumbana na vitu kama hivyo
  15. Nebby

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Damu za waliouawa kwa maelekezo yake au kwa ufadhili wake zinamlilia ndio maana ameenda kutubu!
  16. Nebby

    Mulugo: Sijutii kuukosa Uwaziri, sijatoka kwa ufisadi! Asema sasa ni kazi tu

    mpeni hongera yake! Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na wananchi wa Songwe wamempokea Mbunge wao ambae wanamwamini. Tatizo lipo wapi?
  17. Nebby

    Ukweli usiopingika, CHADEMA Chama ni kinachokua dhidi ya CCM kinachporomoka

    Kama haujasoma mchango wake we ulijuaje somo la insha limempitia mbali! hata hivyo aliyekuwa anamsomea hiyo insha ni nani?
Back
Top Bottom