Search results

  1. N

    kwa anae fahamu interview za World church service

    Wanaanza na screen interview ya typing.kwa kutumia laptop inatakiwa uwe na speed ya kufa mtu na wanaangalia typing accuracy ukipita hiyo ya kwanza ndio mnafuata interview nyingine ...kama huna speed utatumia nusu saa tu then watakushukuru kwa kuhudhuria.wapo vizuri fanyia kazi hilo na best of luck
  2. N

    Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

    [emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706] Tanzania ni kubwa kuliko usimba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Hahaha ushakutana nao nn maana umegusa kabisa
  4. N

    Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Hahaha ushakutana nao nn maana umegusa kabisa
  5. N

    Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    Thiz is crazz nahofia hata uelewa wako ukishaskia zitto unakurupuka .umumuelewa mtoa thread?????
  6. N

    Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

    Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract ikawa imeisha nilimwambia bby mkataba umeisha kule job sasa inabidi nitafute kwingine kabla ya hapo...
  7. N

    Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    Hao wachina inabidi tuwenao makini sana pia ubinafsi tuache watanzania kisa wamekuajiri wanakulipa basi unatetea maslai yao ,,si nzuri kabisa ,,pia vyombo vya dola viwe makini kufuatilia maana inaonekana dhahiri wachina wengi wanafanya biashara tofauti na vibali vyao
  8. N

    Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    msemwa hujaelewa nini ufafanuzi aliotoa Zitto ni kwamba aliwaunganisha wale wasanii wakaunda kampuni yao ,na yeye hana hisa yeyote hapo sasa iweje ahusishwe kuwa lekatutigite co. ni yake ili hali wasanii member wanajulikana na kazi walizofanya na hayo makampuni zinaonekana pamoja na impact...
  9. N

    UKABILA utamfanya Zitto ashinde UBUNGE 2015

    non sense !kjipange uje kuandika tena
  10. N

    Kauli ya Zitto "Nina jasho langu CHADEMA" ina maana gani?

    nadhani mnachoshindwa kumwelewa zitto katumia mda mwingi tangu akiwa kijana na kakutana na vikwanzo vingi hadi hapo alipo pili kwa mwanasiasa yeyote hua anakuwa na ndoto ya kukuwa zaidi ndani ya organization yake na hata nje utakuwa ni unafiki na kwa mwanasiasa asiejielewa akakwambia hapendi...
  11. N

    Kauli ya Zitto "Nina jasho langu CHADEMA" ina maana gani?

    ujamaa wa kikaskazini,,hatari hasa pale unapogusa maslai yao!!kweli wanaujamaa
  12. N

    EL katika Mkakati mzito wa Kuidhofisha CHADEMA

    huyu sio mida 8 ?????tushawazoea kwa sasa
  13. N

    Lema: Ubabe siyo dhambi, inategemea ubabe huo unaufanyia wapi

    kwa kutaka waongezewe posho!???ilihali kunawatu hata sasa hawajui kesho itakuwaje??ni nani aliekuambie alieshiba anamjua aliena na njaa??mmh!ngoja tuone nchi ya asali na maziwa(nchi ya kusadikika)itakavokuwa kama havitoanza visingizio chungu nzima mfano!!kama umefuatiria moja ya wilaya...
  14. N

    Lema: Ubabe siyo dhambi, inategemea ubabe huo unaufanyia wapi

    unaweza kuleta vithibitisho vya usaliti au na ww unaendeshwa na hisia ???
  15. N

    Star mzuri kuliko wote hapa Bongo huyu hapa?

    mtoto wa ukweli sana huyi basi tu
  16. N

    Freeman Mbowe ndiye Nguzo Kuu ya CHADEMA

    inapokuja ukaambiwa uthibitishe kwa kile ulichokuwa unapita na ngoma barabarani unapiga tena mchana kutwa kutangazia umma kuwa flani yuko hivi na hivi,sasa mnapoulizwa maswali mjibu haileti sensi hata kidogo kusema eti umefunga maada tayari kwani kama ni hivyo nibora mgekaanayo hapo ufipa tu na...
Back
Top Bottom