Search results

  1. S

    Tunaomba kutangaziwa mapato ya TRA mwezi Disemba 2016 tafadhali

    Hakika katika mwaka wa mwisho wa uraisi Mkapa alifikia makusanyo ya kodi mara nne ya Mwinyi; Kikwete alifikia mara nne ya Mkapa. Mheshimiwa akifikisha trilions 3.6 kwa mwezi mwisho wa muhula wake wa pili itakuwa in trend ya kawaida kabisa. Trilioni tano kwa mwezi tutashangilia na kumpongeza kwa...
  2. S

    Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    Unalaumu viongozi wabinafsi? Hao viongozi wanatoka wapi si ni miongoni mwetu? hata tunokubali kuongozwa na viongozi wabovu...ni wabovu pia. Tubalike!
  3. S

    Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    kila kitu ni kosa la mtu mwingine...to register true progress we should take responsibility; hata choo unalaum viongozi?
  4. S

    Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    Watanzania tunadanganywa tunakubali...hicho kitu hakiwezekani; na huenda serikali yenyewe inajua kuwa ningumu kutekeleza lakini wanasema kuridhisha watu. Matamko yanamna hii na muutikio wa watanzania huwa unanishangaza sana. Jamani tumeshaondoka kwenye ujamaa...na dunia umeshafuta mazingira ya...
  5. S

    Majoka makubwa yanapopazwa, ni nguvu gani huwanyanyua kwenda Angani?

    sahihi kabisa na ndiyo hiyo pia huweza kuzoa vitu kutoka baharini kama samaki na kusababisha mvua ya samaki kama ilivyoshuhudiwa hivi karibuni huko Thailand. Ni twister yenye nguvu sana na huweza kubomo hata majengo. Hata nyoka wakubwa huweza kuibuliwa na upepo huu kutoka baharini.
  6. S

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Hopelessly irresponsible...this thread needs to be removed in interest of public health. It is your decision to put you life at risk why announce it to everyone?
  7. S

    Magufuli: DPP aliichezea kesi ya ''samaki wa Magufuli''

    Rais anapaswa kwenda mbele zaidi kwa kutumia wizara husuka kupeleka marekebisho ya sheria bungeni ili kazi ya DPP ifanywe na jopo la wanasheria na sio mtu mmoja kuamua mtu yupi na makosa gani yafikishwe mahakamami
  8. S

    Kairuki: Wanaotakiwa kustaafu wasipewe mikataba ya kuendelea na kazi Serikalini

    Hii isihusishe madaktari na walimu wa vyuo vikuu; wanahitajika sana waliopo hawatoshi kabisa
  9. S

    Natafuta Nyumba ya kupanga Tabata au Kinyerezi

    Ipo nyumba nzuri karibu na Tusiime segerea vyumba vinne sebule, jiko, dining, vyoo viwili vya ndani, choo cha nje, jiko la ndani na jiko la nje, kisima kirefu kinachotoa maji safi yasio na chumvu muda wote wa mwaka. Parking ya magari matano ipo. Kodi laki sita kwa mwezi.
  10. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Japokuwa Dr Slaa alifanya kazi vizuri na Mbowe kulikuwa na viashiria kuwa mwisho wao hautakuwa mzuri...na hivyo ndivyo mwisho wa Mbowe na Lowasa utakavyokuwa regardless kuwa Lowasa atakuwa raisi au la
  11. S

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    This is the push we are talking about, not just words; refusing the allowance will send a very strong message as to how serious we are in confronting corruption disguised as allowance. If you are one of those who like to talk without action, go ahead and attack Zito, but he has set a very good...
  12. S

    Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

    Kujiua ni ugonjwa wa akili unaweza kumpata mtu yeyote kwa sababu mbalimbali kama kupoteza mapenzi, utajiri, heshima etc.
  13. S

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Jamani mnatuharibia nchi na udini wenu, sasa unakaa chini bila hata kuona vibaya unaandika uongo ilikuendeleza siasa na chuki za udini. Tafadhali msianzishe majadaliano hasi kama haya, yanaharibu nchi hasa vijana wadogo wanaochipukia.
  14. S

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Watanabe, kilicho mdhuru Lowasa ni ufisadi na ndiyo utakaomdhuri kikwete, utawala wake, na CCM yenyewe!
  15. S

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Mwandishi asiemzalendo anatumiwa na mapacha watatu, article yote ni uongo ulioshikiliwa na misumari ya ukweli kidogo wa hapa na pale. Kwa kifupi ni mafisadi wanatupiana kinyesi cha udini na kuchafua hali ya hewa ya kisiasa ya taifa letu. Tupige vita umasikini haya mengine yote (including ujinga...
  16. S

    Hali yachafuka singida mjini.

    Kama ni kweli hao mashekhe wamesema haya maneno, basi Kikwete inabidi atoe tamko, hawa ndiyo wanahatarisha amani ya nchi sio chadema. Yani ni ujuha wa ajabu; mwislam mwenzetu...ukitumwa umlete muislam, utamleta Kikwete?
  17. S

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    MS wewe ni mwanazuoni mzuri sana lakini hapa kidogo umeteleza; Shule zinazofanya vibaya za Kiislam, maslahi binafsi ya Waislam, na uchaguzi ni vitu muhimu kwa mstakabali wa waislam kuliko historia unayoitilia mkazo.
  18. S

    Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo

    Babu wa Loliondo ni mshirikina kama shehe Yahya.
  19. S

    Kibonde mkristu asiyeamini ukristu

    Hamna tofauti kati ya shehe Yahya na babu wa Loliondo wote wanatudanganya kwa kutumia nafsi zetu dhaifu kurubuniwa....na wote wanatumia miti shamba.
Back
Top Bottom