Search results

  1. PLATO MAGELE

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Too theoretical kuliko mazingira halisi. Nani alikuwa na ubavu wa kufanya unayoyasema!
  2. PLATO MAGELE

    Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

    Mama amesema tuache tofauti zetu tusonge mbele wewe unataka nini.
  3. PLATO MAGELE

    Natafuta mpimaji wa eneo la dhahabu

    Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P lease, it's so urgent!!
  4. PLATO MAGELE

    Wanaume wenye papara huwa hawafanikiwi

    Mentality ya kumsotea mtu imeshapitwa na wakati. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. PLATO MAGELE

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimejaribu kucheck You tube confusion ni kubwa mpaka mtu wa kukufundisha tu apatikane.
  6. PLATO MAGELE

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hii kitu ipo nimeifuatilia inaonekana ni ngumu mpaka tu upate mtu wa kukufundisha
  7. PLATO MAGELE

    Kadiri Lowassa anavyojiimarisha CHADEMA, ndivyo chama kinavyofifia na kupotea

    Hapo hakuna cha LOWASA, suala kubwa upinzani kwa umeminywa na serikali. Tuacheni unafiki tuwe wakweli.
  8. PLATO MAGELE

    Ushauri kwa mrembo huyu

    Ni kweli kabisa, hata mimi huwa naona picha zake. Kwa hiyo, hiyo ni hadithi ya kutunga tu.
  9. PLATO MAGELE

    Humphrey Polepole aeleza mikakati yake baada ya kukabidhiwa chama

    Watu wanaongeza credit kwa ajili ya wanyonge. Hatari sana.
  10. PLATO MAGELE

    Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    Huo ndio ukomo wa mawazo yako.
  11. PLATO MAGELE

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Anakaa wapi mkuu?
  12. PLATO MAGELE

    Tanzia: Diwani wa viti Maalum Hai (Chadema) Afariki leo Mchana

    Jamani hicho Kizungu, duh!!
  13. PLATO MAGELE

    Natafuta Sumsung galaxy note 10.1

    Namna ya kupm sijui
  14. PLATO MAGELE

    Natafuta Sumsung galaxy note 10.1

    HATA KAMA NI ZA DUKAN HAKUNA TATIZO, MAANA SEHEMU NILIPO HAKUNA MADUKA YANAYOUZA.
  15. PLATO MAGELE

    Natafuta Sumsung galaxy note 10.1

    Natafuta sumsung galaxy note 10.1, -2014, 16GB
  16. PLATO MAGELE

    Tengeneza fedha kwa mtandao

    Mwisho wa siku hutaambulia kitu.
Back
Top Bottom