Search results

  1. Hebrew

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Hivi huyu kocha hajui kuwa kama kuna mchezaji kashapewa kadi ya njano kwenye mechi kama hii ni kumtoa ..ni risk kumwacha aendelee kucheza ...
  2. Hebrew

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Kila na Kheri taifa stars. Ila sipendi hii game tactics ya huyu coach. Yaani tu defend in numbers ...tunawapa respect sana wamorocco. Tujifunze pressing toka mbele ....tukifanya hivyo naona wataanza kufanya makosa. Vinginevyo ni muda tu tunaweza kupigwa bao.
  3. Hebrew

    Nimesikitika sana kuona yanayotokea pale Udart

    Vitu vinavyo milikiwa au kundeshwa na serikali ni mzigo. Wahusika hawajali. Binafsi ningependekeza serikali imiliki na ku meneji barabara za mwendokasi...service zinazotumia hizi barabara ..naamanisha mabasi NK...apewe MTU kama Bakhresa.. awe analipa kwa kutumia hio miundombinu ya serikali...
  4. Hebrew

    Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

    Hawa Wa Niger Ma masters wa fake degrees wana BAN fake degrees toka nchi zingine!!
  5. Hebrew

    DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    "You will never find justice in a world where CRIMINALS make the law." Bob Marley
  6. Hebrew

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Waarabu hawa wa Morocco hawana nguvu ila Wana akili ya Mpira ..Sisi tuna nguvu hatuna akili ya kucheza mpira. Timu kama ya Senegal ina vyote viwili. Kocha nae alichemsha...alikuwa anafanya majaribio kwenye mechi muhimu. Mpira ni saikolojia Pia...samatta na msuva wangebadilisha saikolojia...
  7. Hebrew

    Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

    Kwa kuongezea..ukiendesha Landrover Disco au Range ..utamsahau mjapani na Cruza zake. Hizi gari zipo comfortable kwenye kuendesha, solid, imetulia barabarani na position ya kiti cha dereva ipo vizuri sana. Gari inasimama na haiyumbi. Japokuwa inaweza kuhumili barabara mbaya.....ila huko itaiumiza.
  8. Hebrew

    Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

    Disco 4 ina injini 3000cc….2700cc nyingi ni Disco 3. Matatizo ya Air suspension yanajulikana. Kama unauwezo badilisha weka coil spring..itakusevu kwenye gharama haswa kama una mpango wa kukaa nalo kwa muda mrefu.
  9. Hebrew

    Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Unazungumzia Mikocheni A... maana kule Mikocheni B kulikuwa na mashamba tulikuwa tunaenda kulima ..mnaondoka nyumbani asubuhi mnarudi jioni. Nimeswaga Ng'ombe sana toka Obey hadi Mikocheni B
  10. Hebrew

    Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Umenikumbusha mbali sana ...hapo mtaa wa Guba..toka morogoro stores unabonyea hadi oysterbay hotel...Nilipita miaka mitatu iliyopita ucku ..mtaa ulikuwa na machangu wakutosha!! Sehemu za Mikocheni B zilikuwa mikondo ya maji..cku hizi kuna majengo mvua ikinyesha maji hadi ndani na kushakuwa...
  11. Hebrew

    Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Mkuu ile Pado ya 9M ipo au ilishauzwa? Pi natafuta Nissan Hardbody D/C
  12. Hebrew

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

    Naona mama ametengua uteuzi wake wa awali baada kushauriwa acheki VAR...
  13. Hebrew

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Mkuu naomba uweke picha za ndani.
  14. Hebrew

    Serikali iruhusu uwekezaji wa kibiashara katika Magereza ili wafungwa wanaoweza kugharamia walipie na kutumikia vifungo vyao

    Hivi hapa hakuna vifungo vya nyumbani kwa wanasiasa? Na hao wanaofungwa kwa sababu nyingine (vibaka nk) wangekuwa wanafanya kazi kama kujenga barabara na za kuzalisha kuko huko selo kwa kulipwa kima cha chini ili wakitoka wawe na pesa za kuwasaidia kuanzisha hata vibiashara ....bila ya hivi ni...
  15. Hebrew

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Luois

    Umbali gani toka barabara kuu..au ya lami...naomba maelezo zaidi mkuu
  16. Hebrew

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Luois

    Naomba picha mkuu
  17. Hebrew

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Aisee hii inauma sana sana.. Pumzika kwa amani zote Jembe letu Dr John Pombe Magufuli
  18. Hebrew

    Kwanini 'Wazungu' hupambana sana ili Mgonjwa asife, lakini 'Waafrika' hujitahidi mno kufanya 'Maziko' ya Kifahari kwa Marehemu?

    Binafsi naona wazungu wanathmini sana utu na uhai wa watu. Hata ukienda hospitali zao kipaumbele kwa miyoyo yao ni kujitahidi binadamu mwenzao apone na asifariki. Ndio maana hata mgonjwa akifariki hospitalini huwa kuna kuwa na majadiliano ya madaktari na manesi kuhusu kama kuna kitu wangeweza...
Back
Top Bottom