Search results

  1. M

    Gazeti majira: Zitto akatisha ziara ya Slaa

    ni kiangazi hiki, chakula cha msaada mtapata tu msiwe na hofu hakuna kufa njaa kwani malipo kwa sasa yapo ila ikinyesha tu oooopsi hakuna msaada kwa hayo magazeti uchwara
  2. M

    Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

    ooooooopssiiiiiiiiii
  3. M

    Mwambene: Absalom Kibanda hana vigezo vya kuwa mhariri

    Binafsi namfahamu Kibanda kwa undani wake na elimu yake, ila huyo Mwambene simjui naomba wenye uelewa kumuhusu watujuze. Nasisitiza Kibanda anajulikana kwa hali ma mali pia ni msomi wa kueleweka na hapendi ku-weed between the lines ili apate mkate. kwa haraka Mwambene ni maji ya shingo. Pole sana.
  4. M

    Shonza na Mwampamba Wapigwa Stop na Vigogo CCM ?

    huyu mama wamemfyonza sana hadi sifongo!
  5. M

    Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

    Napata shida sana kuunganisha yasemwayo kuhusu huyu bw. Inavyoelekea hakuna ajuae ni lini na ni wapi alizaliwa, hivyo nashauri aje jamvini binafsi atuambie yeye nin nani na anafanya nini Tanganyika. Ni wazi kuwa hata ktk mchakato huu wa Katiba mpya ni bora tukawa na madarja ya watu (raia) kwa...
  6. M

    Sugu, once a criminal always a criminal.,Mbowe experienced Disco Joker (DJ) what a parliament..!

    Mzee ongezea yale Mimba(MEMBE) aliyoyasema kuhusu Lajoelina wa Madagasca na waasi wa Libya. Je huyu bwana anaedharau ajira za watu anaweza elezea historia ya kamuhogo kake anapokapata?
  7. M

    Dr Mwakyembe Apangua Wajumbe wa Bodi ya Bandari (TPA)

    Pole na kazi isiyo na maana Mwakiwembe
  8. M

    Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    Kama huna hoja tafadhali nenda jifungie choo cha kituo cha mabasi hapo ulipo uendelee kutafakari maana naona huna hoja zaidi ya uharo.
  9. M

    Mzee Timothy Apiyo Afariki Dunia

    Wape pole wafiwa ni upendo wake mola ndio umemfikisha alipo
  10. M

    Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Naomba rudi darasani na ujifunze vizuri kwanza hicho kiswahili alichotuachia Nyerere ndio urudi humu ndani na hoja za msingi.
  11. M

    Kada CCM akamatwa na shehena ya sukari mbovu

    :madgrin: Madabidabi. Hivi hilo n pia ni jina au kivumishi?
  12. M

    Juliana Shonza hajielewi, Mwongo Hafai Kuaminiwa na Vijana

    Tafadhali nikumbusheni huyo fyonza ni nani tena jamani?
  13. M

    Serikali iko taabani kifedha

    maji ya shingo
  14. M

    Movement for change ndo hiyoo inaanzia ndani ya CHADEMA from hero to zero

    Ni bora wajitoe kwani wanasubiri nini?
Back
Top Bottom