Search results

  1. afsa

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Hii inatokana na kubadirisha mawaziri kila kukicha, hatuna mawaziri wenye uwezo na maono ya nini kinatakiwa kwa wakati gani. CCM wanabahatisha kuongoza na kusimamia maendeleo ya nchi ni kama hawajui wanachokihitaji
  2. afsa

    Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Hawa wezi wa mali za umma hawawezi kuruhusu upatikanaji wa katiba mpya. Wanajua katiba mpya ina vipengele vya kuwashitaki wezi na wauzaji wa mali za umma. Katiba mpya haitaruhusu kuuza mali zetu kama bandari. Katiba mpya hatutaletewa kwenye sahani, tuipiganie kabla hawajatuuza sisi na mali zetu.
  3. afsa

    Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    Kwa maoni yangu ili haya maandamano yafanikiwe, tafuteni watu maarufu kwa kila mkoa/wilaya watuongoze na maandamano haya yafanyike kwa muda unaofanana nchi nzima ili hawa askari wasitoshe kuzima maandamano. Mapendekezo ya nani awe wapi kuongoza maandamano ni muhimu sana kama tumedhamiria kupata...
  4. afsa

    Hoja ya Mnyika kuhusu Katiba Mpya iungwe Mkono

    Tatizo lipo kwenye kuyaishi maneno hayo
  5. afsa

    Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

    Mungu aendelee kumlinda Tundu Lisu na amuepishe na mabalaa ya kutengenezwa na serikali ya CCM.
  6. afsa

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Kwa hiyo mnaanza kukiri kwamba Ben saa8 mlimla nyama? Jitokezeni tuwajue.
  7. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Ni sahihi. Lakini najiuliza mwaka jana December bei ilikuwa Us$113 , bei kwa hapa kwetu ilikuwa zaidi ya tsh 3000/ltr. Leo bei huko Duniani imeendelea kushuka na imefikia Us$65. Hii ni karibu nusu ya bei ya December. Najiuliza kwa nini leo hapa kwetu hawajashusha bei hata robo? Achilia mbali...
  8. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Wakati yakiuzwa Us$130 bei hapa kwetu ilikuwa zaidi ya tsh 3000, yaliposhuka na kufikia Us$100 hapa kwetu yalishuka kidogo, leo ni zaidi ya mwezi yamekuwa yakishuka kutoka Us$100 hadi Us$65 lakini kwetu hayashuki, kwani wakati ulee yaliposhuka USD haikuathiri thamani yetu ya fedha na hadi sasa...
  9. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Nishapitia ndo maana nashangaa hapa kwetu bei kuendelea kubembea
  10. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Hayajashuka ghafla leo, wakati mafuta hapa kwetu yakiuzwa zaidi ya tsh 3000/litre yakiwa Us$100 yamekuwa yakishuka taratibu hadi sasa yanauzwa Us$65 lakini huku kwetu bado bei iko palepale. Yanauzwa zaidi ya tsh 3000/lt
  11. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Kwa hiyo kushuka toka Us$100 hadi Us$65 haiwezi kuleta effect ya kushuka kwa bei in Tsh?
  12. afsa

    Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

    Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu. ~ EWURA wameshindwa kusimamia bidhaa ya mafuta kushuka bei? ~ Mama anaridhika na kupanda bei ya mafuta inayopandisha...
  13. afsa

    Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

    Chsma kipange mikutano nchi nzima kwa tarehe na muda unaofanana ili tuwagawane walinzi wa mikutano
  14. afsa

    RC Chalamila: Abiria walikuwa 43, Wamekufa 19 na Majeruhi ni 24. Mvuvi aliyeongoza Uokoaji apewa Tsh 1,000,000

    Idadi ya waliokufa na waliookolewa inazidi idadi ya abiria wliokuwemo ndani ya ndege, kuielewa CCM kwenye number unatakiwa utulize akili sana.
  15. afsa

    Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

    Humo kwenye deal kipara hakosi
  16. afsa

    Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

    Mama amewasaidia amewaambia wasivimbiwe
  17. afsa

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Wakatoliki Wana dharau Sana, mbona hili swali muhimu wamelipotezea?
Back
Top Bottom