Gardner aliishi maisha yake!! He was happy...na nahisi mwishoni alijua alifika mwisho na hakuna alichobakisha! Kuna watu wanataka waishi miaka 100 and living in fake life...kujifanya wema Kwa macho ya society na huku wanateseka... what a loss!!!
RIP Mwamba!
Kwa hayo uloandika...
Basi nimeishaa!!! Maana choon kwangu nakaa masaa mengi.
With a serious note...me nadhan watu wengi wana anguka chooni, Kwa sababu ventilation sio kubwa, so automatically Kama ukiwa unatatizo ni rahis kupata madhara coz air supply inakuwa ndogo...so it's easy kuanguka...
Zamani Sana maeneo ya Kimara, alinionesha nyumba self na ina mabomba ya maji, akasema Ratiba ya mtaa huo maji yanatoka mara 3 Kwa week, kumbe nyumba haina maji kabisa...yalifungiwa na Dawasco siku nyingi...na choo kinatema!!!!
Hapo sijajua..maana dogo ndo yupo kwenye Ile system ya kuishia darasa la sita.
Hata masomo anayosoma ni tofauti na mwenzie wa darasa la 4.
Maybe wao ndo watapanda nalo....
Binti yangu analisoma,
Yupo darasa la tatu, na ana enjoy Sana...kila wakisoma lazima aje kunihadithia!! Nimeona impact yake...anatamanii Sana kujua zaidi juu ya Tanzania, nadhani kama likiendelea kufundishwa vizuri tutajenga Taifa la wazalendo haswaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.