Search results

  1. C

    Nisaidieni jamani nifanyeje?

    Du! pole kaka. haya ndo yanaitwa masahibu! Hilo ndo tatizo la wanawake wengi. Samahani kusema hivyo kwani si wote lakini wengi. ukitaka kuwaridhisha wanawake kwa kila wanachotaka lazima uishie na dissapointment lkn hilo linawatokea wengi. piga moyo konde. fungua ukurasa mpya
  2. C

    wakuu msaada wenu muhimu hapa

    Unajua kidogo niishie njiani maana nilikuwa nasoma tu sifikiii nukta au aya nyingine. Kama si utamu wa hadithi Hakika nisingemaliza. BASI MI NAMSHAURI SHEM AACHE TU HUYO MTOTO AKAE NA MAMA YAKE ILA KABLA YA YOTE WAKAPIME DNA KWANZA!
  3. C

    Tunda nimelitungua!

    Hilo tunda, Tunda Ganii? Mbona una, Sifia ninii? Kama tunda, kuna mengii. Hilo tunda, Tunda ganii? Kwako tunda, ni la ninii? hilo tunda, ni la ninii? Je mimi nile niniii? Kama tunda, Siajaonaa!
  4. C

    Nyeti zingekuwa na Pass word...

    Hii nimeikubali mjumbe
  5. C

    MITSUBISHI PAJERO iO A.K.A GDI INAUZWA

    Do you mean that hiyo inayoonekana hapo kwenye picha ndo inauzwa?
  6. C

    BAba na Mwana- Mahusiano

    kweli inasikitisha hii ishue
Back
Top Bottom