Search results

  1. B

    Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    Waliipenda, wanune wapasuke, wanaipenda milele. Wapinzani wacha waisome namba eehee CCM Mbele kwa mbele. Mhe Sita naye leo anaisoma namba.
  2. B

    Nawashangaa wanaoshangaa Sumaye kuwa mwenyekiti wa kanda Chadema!

    Hakika msemo wa Kiswahili "Usiolijua ni sawa na usiku wa giza". Mshipa ya shingo inawatoka kwa kuona watu wakijipanga kuchukua dola. Waacheni CHADEMA wapange yao, wachaguane, waimarishe Chama chao na hatimaye washinde Chaguzi. Hilo ndio lengo la kuwa Chama cha siasa.
  3. B

    Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

    CHADEMA haiwezi kufa kwa Dr Slaa kujiunga na ACT, Alitumiwa na Magamba ktk Uchaguzi Mkuu bila mafanikio, itakuwa kwa ACT ?. Mama huyu mtoa hoja namshauri aendelee kula mhogo huko Ugaibuni, muda wake umeshapita, aache wenye nia ya kujenga Chama wafanye kazi yao.
  4. B

    CCM katika ndimi mbili na kutapatapa

    Watabana na mwishowe wataachiwa
  5. B

    Nini kimepelekea Joni kupooza ghafla na Edo kuibuka kwa fujo?

    Edo ndio kwanza anaanza kupasha maungo moto kwa ajili ya mechi ijayo. John kila uchao hali inazidi kubadilika na anashusha morali ya wachezaji wa timu yake. Angalia mapato yanaendelea kushuka. Hebu hiulize nondo zilizotolewa wa CAG kwa John . Tafajari Bunge limeruhusu kamati zake kufanya...
  6. B

    Dr. Slaa: Sukari yaweza kuangusha Serikali

    Serikali inahangaika kusema watu wameficha sukari ndio sababu ya kuadimika wakati hiyo inayodaiwa kifichwa hata siku saba haitoshelezi mahitaji. Najiuliza watatuambia nini baada ya hiyo kuiisha ?. CCM ni ile ile
  7. B

    Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

    Mtoa mada unachanga habari. Umeaka na hofu ya kushtukizwa na kutishwa na Watawala ?
  8. B

    Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Tulishaeleza tangu awali kuwa Pole pole anatembea na ahadi kichwani. Namsubiri aanze kuikana Rasimu ya Katiba aliyoshiriki kuiandika na kuitetea kwa nguvu zote na kukubaliana na Katiba Pendekezi ambayo alikuwa anaipinga hadharani. Waswahili walinena "Uzao wa kenge hauwezi kuwa Mamba asilani"
  9. B

    Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    Mtoa mada umehitahidi sana kujaribu kuzuga wafuatiliaji. Miaka mitano bado vifaa havijatengenezwa na mkataba bado unapumua, hii ulitakiwa kuwaeleza watoto wanaosoma Chekechea. CCM ni wale wale. Uzao wa Panya siku zote hauwezi kuacha asili yao ya kuiba. Hebu jiulize mbona Mhe Mtumbua Majipu...
  10. B

    Kilango vs Muhongo: Ni kanuni zipi ziliongoza maamuzi ya Rais?

    Sakata hili linataka utulivu ktk kulijadili. Najiuliza bila kupata majibu, kama ni kuwajibishwa kwa udanganyifu wa Wafanyakazi hewa ni maafisa walioenda kufanya uhakiki wa watumishi au aliyeletewa taarifa ya uhakiki huo ?.
  11. B

    Udhaifu wa Kikwete Siyo Uimara wa Magufuli

    Hongera sana mtoa mada. Ukweli ndio huo, ila naelewa kuwa wapo ambao watajaribu kutafuta sababu za kuponda hoja hiyo. Serikali hii ni ya Kushtukiza na kutishana. Mfano hai umetokea ktk Shule moja ya msingi iliyopo ktk Wilaya ya Kibaha ambapo Mwl mkuu ameshusha wadhifa kwa sababu hakuandika...
  12. B

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Mhe Rais, amekuwa akieleza mara kwa mara kuwa hatawavumilia wateule wake ambao watashiriki ktk ufisadi Naomba kushauri kuwa Mhe huyu anatakiwa awajibishwe haraka sana, vinginevyo tutaamini kuwa ile Kauli yetu ya Kizaramo "UKIWAONA KAMA WATU". Mhe Rais Jipu kubwa hilo, unachotakiwa si...
  13. B

    Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

    Unasemaje kiatu kimempwaya. Katibu Mkuu wa Chadema na Chadema yenyewe ndio yenye wajibu wa kulinganisha nani zaidi ktk utekelezaji wa majukumu ya nafasi hiyo Nakushauri tafuta kazi ya kufanya na kama huna nenda Kijijini ukatekeleze kauli ya Mhe Rais ya "Watu wakalime tu"
  14. B

    Ni maumivu CHADEMA, Magufuli aacha kilio Kanda ya Ziwa

    Ama kweli duniani kuna mengi Magufuli ameenda Chato kupumzika na kukutana na marafiki zake na kupata kero za wanafunzi za ukosefu wa madawati na vitabu ktk Jimbo aliloliongoza kwa vipindi vitatu bila kutatua kero hizo Sasa mtoa mada anasema ameifuta CHADEMA, nashindwa kuamini kama aliota au...
  15. B

    Nani hakumtii Waziri Mkuu Majaliwa? Ameachwaje?

    Sisi Wazaramo tunasema "ZILONGWA MBALI ZITENDWA MBALI"
  16. B

    Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

    Nashindwa kuelewa ktk hili. Mhe Rais amebadilisha wateule wote aliowakuta ktk Mamlaka ya Bandari na kuwapa vyeo aliyeona ni watu safi wasio na mawaa. Aidha Mhe Rais alibainisha kuwa yoyote atakayeenda kinyume naye atamwajibisha mara moja. Sasa anapotueleza wananchi juu ya wizi huo bila kuchukua...
  17. B

    UKAWA kaeni chonjo hii kamata kamata ya TAKUKURU inakuja kuwabomoa!

    Mtahangaika sana. Ukweli unajulikana kuwa Mhe Lowassa akitoa ushauri na ukakataliwa na kama mnaamini ana kesi mpelekeni Mahakamani mtaona kilichomtoa Kenge Manyoya
  18. B

    Naipenda Nchi Yangu lakini Siwezi Kuunga Mkono Mambo ya Kijinga Mkono kwa Hoja ya Uzalendo

    Ukweli unabaki pale pale. Mnabaka Demokrasia kwa kuamini kuwa hamtatoa nchi kwa karatasi, sasa kama hayo ndio yaliyojaa kichwani mwenu kwa nini mnaitisha Uchaguzi wa nini ?. Mimi naunga mkono msimamo wa nchi wahisani
  19. B

    Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kutoa vibali vya uingizaji sukari kutoka nje ya nchi

    Kitaeleweka tu. Serikali ya kushtukiza na kutishana inaendelea na majukumu yake
Back
Top Bottom