Search results

  1. K

    Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Hizi habari hunifanya niache kuwasha internet kwenye PC na hata kwenye simu. ujinga kama huu unafanywa Tanzania tu
  2. K

    Mke wa Trump kichwa wazi Saudi Arabia

    Waliokuletea dini wako na amani kwa jinsi alivovaa ila we mletewa dini ndo umefura kama kifutu. Wenyewe wamemkaribisha patakatifu pao ambapo we mfia dini huwezi kupakanyaga
  3. K

    Mke wa Trump kichwa wazi Saudi Arabia

    Kwa hiyo unachotamani kuona maishani mwako ni kila kiumbe klabu during mungu wako. Ndo maana nchi hii haiendeleI ni kwa sababu vichwa vingi kama chako vinafikiria tamaduni za watu wengine zaidi kuliko tamaduni zetu.
  4. K

    Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

    Umenena vema mkuu, ningekuwa nakunywa kinywaji ningekualika tunywe pamoja. ila kama wewe mnywaji endelea ntakuja kulipia. Kimsingi watu wanachukulia kuwa kuwa na sauti flani nyembamba ndo kuwa mwimbaji mzuri. Diamond ni mwanamuziki na ni msanii. Alikiba ni mwanamuziki ila kufanya sanaa
  5. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Yes big headed looooser with a lot of excuses ...... naiona temperature kwenye uso wako
  6. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Ingekuwa inakimbiza ungesema ni nyota ya Kiba siyo???? Loosers got reasons
  7. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Sawa mzoefu wa kuanzisha thread. Rudi hapo juu usome vizuri katikati ya mistari kuna kitu kitakusaidia
  8. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Thanks mkuu kwa kuielewa post yangu
  9. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Ili uelewe hilo inabidi ujiulize vita ya Iraq ni nani walikuwa wanapigana kule. Ujiulize pia kuhusu vita ya Afghanistan na usisahau chokochoko za uhasama wa kivita kati ya mataifa nani wanakuwa nyuma ya pazia
  10. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Nilichoongelea ni jinsi gani Diamond alivyopokelewa na mashabiki ukilinganisha na Alikiba. Soma tena kwenye uzi wangu ndugu mdau
  11. K

    Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

    Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao yoyote natulia kwa makini kusikiliza. Hiyo ilikuwa bendi pendwa kwangu kabla hawajasambaratika na...
  12. K

    Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

    Kwa hiyo kutukana mwanamme ni ruksa. Naanza kuona vikundi vya harakati za KUTETEA WANAUME vikianzishwa
  13. K

    Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

    Naona siku hizi mtu akimtukana Mrs. Tanzania anakuwa adui wa nnji nzima
  14. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nadhani magazeti ya kesho yataandika WASANII WAJAZA UWANJA WA JANGWANI
  15. K

    Kumbe hata katiba ya Zanzibar haijataja mahakama ya kadhi?

    Mtu asiye mwisilamu akija msikitini kujadili uislam atakuwa anaingilia uhuru wa waislamu lakini ikiwa mmeamua mjadala uwe kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania basi hilo litazungumzwa na watanzania woote. Usikasirike, km kadhi ni ibada basi ijadiliwe misikitini na ianzishwe huko.
  16. K

    Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

    Labda unijulishe tofauti ya kuwa wapenzi na kuwa marafiki ni ipi. I mean what I say. Niko safari kwa sasa so nitajua kila kitu nikirudi na pia nimeshafikiria uamuzi wa kuchukua kama theory na hypothesis nilizotengeneza zitaleta majibu fulani. Amesharudi yuko Dar ila mi niko safari ya mbali kikazi
  17. K

    Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

    Ushauri wako nimeusoma na kuulewa. Natamani sana siku ifike nijue mbivu na mbichi. Sijui kuna kitu gani katika mapenzi kwani nahisi nimeshakuwa zoba. Ila najitambua na nitafanikisha malengo yangu. Kuna subra na timuatimua mara moja sijui nifanye lipi kati ya hayo mawili. Before she left she gave...
  18. K

    Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

    Sometimes when you hate something you duplicate similar cases. Sina uhakika kama itakuwa suluhu kwa maisha yangu ama yake. Ila kauli njema hujenga nyumba. Unaweza kujenga ghorofa la bilioni 2 ila usingizi ukawa wa shida sana kupata. Napenda kujenga nyumba ya gharama nafuu ila nahitaji kukaa kwa...
  19. K

    Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

    Nami naamini hivyo ingawa it is becoming difficult with time. Na itachukua muda kuonana kwani nami nimesafiri kidogo kwa hiyo atakapokuja sitakuwepo. Penye miti hapana wajenzi!!!!
  20. K

    Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

    Mkuu itara, nashukuru kwa analysis yako. Naona ka ukweli fulani na umezungumza kitu kwa mfano hai na zaidi ya hapo kuna sehemu umegusa nami nikashtuka. Being smart, n'way huwa sipendi ligi na mtu ila I'm very smart to my level of understanding. Sijui kama she is trying to hide something or she...
Back
Top Bottom