Search results

  1. D

    Wanaume muoeni huyu dada

    Yule jaji was bongo stat search kaolewa?.... Achana na Madam Rita... Nasema yule mtangazaji wa Luninga
  2. D

    Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

    Nilikuwa sitaki kuandika kitu leo humu. Umenikumbusha kitu hapa nimechaka sana. Siku moja nilikuwa Iringa shule ya secondari Malangali. Sasa kule ni baridi sana. Jioni mazoezini bwana. Nilikuwa na kipisi chake. Sasa tunakaa wengi pamoja tunaangalia wanaocheza mpira. Kitu jua ndio linazama...
  3. D

    Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili

    Naomba kuwa tpgauti nawe kwa 10000000% Nafsi ninini? Nafsi ni wewe mwenyewe. Kwa mujibu wa biblia, ni kwamba Mungu alimuumba mwanadamu akiwa mfu. Kisha akampulizia pumzi ndipo mtu akawa hai. Kitendo cha kuwa mtu ndio nafsi. Mtu hana nafsi bali mtu ni nafsi. Sasa mtu atatokaje kwa mtu? Ndoto...
  4. D

    Nafsi ni kitu gani?

    Nafsi wewe mwenyewe. Ukisoma kitabu kiitwacho Biblia, sehemu ya mwanzo sura ya pili mstali w saba. Mwanzo 2.7 pameeleza kuwa Baada ya kuumbwa binadamu akapuliziwa pimzi. Ndipo binadam akawa nafsi hai. Ieleweke wazi kwamba binadamu hana nafsi, hivyo usisumbuke kuitafuta nafsi mwilini mwa...
  5. D

    Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    Sawa.. Lkn nadhan utakuwa umeelewa nini namaanisha. Ili ujijue lzm ujulishwe.. Ili ufahamu lzm ufahamishwe..
  6. D

    Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    Mtoa uzi fanya jambo moja. Hebu kaa na watu wanaoamini imani tofauti na yako kisha ruhusu wakupe challange juu ya unachoamini kisha wajibu kwa namna unavyojua na kuelewa.. Kisha nawe upate muda wa kuwachallange wao kwa uelewa wako ili wakujibu. Ktk sherehe ya birthday ya mmoja wa rafiki yangu...
  7. D

    Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

    Simba ni timu ya mpira miguu.... Mashairi si mahali pake.. Nilitarajia Haji akitamka timu imeanza kumiliki uwanja wske lini? Suti! Kwani nyie bwana harusi? Basi! Kwani nyie MUWADA? Jengo? Nyie NHC? Ulaya? Nyie wazamiaji? Wa kimataifa? Naomba tskwimu lini Simba wamepita na kombe airport...
  8. D

    Wenye Nyumba Dar ni Washirikina.

    Sasa na wewe ni mwenyenyumba. Vipi ushakuwa mshirikina? Tuvutie uzi juu ya Saa ngapi mnavunjaga nazi? Saa ngapi unakwendaga kujisaidia kitandani kwa wapangaji wako? Labda uwe umejenga nje ya Dar. Nasubiri..
  9. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Ni kweli uislam ulianzishwa na Vatican. Lkn sio forum ya dini hii. Lkn kama mtu atahitaji kujua sana juu hili anaweza kufuatilia vitabu hasa vya Mkweli mwaminifu. Au kuna vikundi vinakuwaga pale shule ya uhuru kila jioni vinajadiliana. Siku moja nilimkuta dogo mmoja anaitwa Zebedayo aliichambua...
  10. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Mwanzo nilishasema kuwa freemasons walikuwepo kabla ya ukristo ma uislam. Wakati huo dini ilikuwa ni imani moja kuelekea Mungu. Freemasons walianzisha mpango wa kuiteka dunia wakipinga imani ya dunia kuelekea Mungu. Freemasons wanatumia akili sana. Ndipo ukaanzishwa mpango dini badala ya...
  11. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Kama Mungu hayupo hebu tujibu haya. 1. Wewe umetoka wapi? Na huyo alokuleta ametoka wapi? 2, nini mwanzo wa mwanzo? 3. Baada ya maisha haya utakwenda wapi na utakuwa unafanya nini? Mpaka lini? Kivipi ikiwa utakuwa umeukiwa....
  12. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Lkn utambue Illuminant ni moja ya cheo kikubwa ktk freemason. Unaposema HATA illuminant tu.... Iluminant ni kama waziri mkuu ktk freemason
  13. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Moja ya amri za Mungu ni kutosujudia sanam.. Ktk uislam kuna mwezi na nyota. Na amri inasema usijifanyie kitu chochote cha kufanana kilichopo angana wala ardhini kisha ukakisujudia. Jiulize mbele ya kibla ya msikiti kuna alama gani? Na waliomo ndani husujudu kuelekea sanamu hizo au lahh...
  14. D

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Dah natamani niweke post juu ya Freemason (wajenzi huru) Hii post inaeleza familia 13 za free mason. Ngoja nichangie dondoo kisha siku nitapost kirefu. Mtoa post hii yupo sahihi sana juu ya free mason na inaelekea anaufahamu fln kuelekea freemason. Kwanza tambueni free mason walikuwepo...
  15. D

    Kaa mbali na huyu tapeli KIM2

    Mtu kama huyu tapeli hafai kuwepo kwenye jamii yetu. Mtu ana matatizo, ana hitaji mtu wa kumsaidia, wewe unamwibia tena. Hiyo si sawa
  16. D

    Je, ni makosa mimi kuwa mteja wa Tigo?

    tatizo hawa jamaa wanadhani kila mteja wao ni mjinga fln, wana boa sana.... ngoja mii nawaangalia wakirudia NITAHAKIKISHA WANASIMAMA MAHAKAMANI wezi sana.. na sms zao sizifuti nitaziweka, wataingia tu kwenye 18,,,, kuna kitu najifunza hapa toka mitandao ya nje kisha niaangalia TCRA wanasemaje...
  17. D

    Je, ni makosa mimi kuwa mteja wa Tigo?

    imagine upo na mgonjwa hospitali, imambo kibao yanatakiwa,,, una simu 2 mkononi unaambua kujiunga kwa simu moja ili uwasiliane na ndg kisha kampuni ya simu inakutapeli ukiwa kwenye kona mbaya kama hiyo. ambapo kila sh, inakuwa na kazi yake, so unaamua kuweka vocha kwenye ,tandao mwingine...
  18. D

    Je, ni makosa mimi kuwa mteja wa Tigo?

    Ninatambua kwamba tigo ni kampuni inayojiendesha kibiashara kwa lengo la kupata faida kihalali. Ninatambua kwamba mimi ni mtanzania ninauhuru wa kuchagua niwe mteja wa kampuni gani ya mawasiliano miongoni mwa makampuni yaliyopo Tanzania.... MWANZO nimekuwa mteja wa kampuni hii muda mrefu sana...
Back
Top Bottom