Search results

  1. M

    Kingunge aonya kuhusu Muungano

    Mmzee huyu kazeeka mno inabidi akakae makumbusho ya taifa kwaajili ya vizazi vijavyo.
  2. M

    Kwa nini umejinyonga? Nimeumia sana lakini sina la kufanya, kwa heri GOODLUCK COSMAS SHAYO

    Visa vya mapenzi na UKIMWI ndo unafanya watu kujinyonga sana. Simlaumu sana kwasababu hata mimi nilikaribia kujiua mara baada ya my mume kuleta UKIMWI nyumbani lakin sasahivi safi na ARV'S zangu maisha yanakwenda.
  3. M

    Wanahabari Iringa wakana kuhongwa na CCM

    wakiongozwa na mnafiki namba 1 Francis Godwin anamtetea sana Lukuvi kwasababu anamsaidia kumjengea nyumba Hili jamaa ndo kanjanja nambar 1
  4. M

    Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Yaan wewe na certificate yako etii unaomba kufundisha O level uwezo huo huna labda ungekuwa angalau na A level knowledge ungekuwa umekamilika kwa o level lakin kwa sasa bado sana ubodaboda unakufaa sana tuu
  5. M

    Nafasi ya kujitolea iringa

    mbunye kwanza mpango wa ajira utakua poa
  6. M

    Nafasi ya kujitolea iringa

    kama wewe niwa jinsia ya KE ntakusaidia ni pm
  7. M

    nafasi za kujiunga na jkt jwtz

    maisha jeshini hutafurahiya labda uwe iron boy utaishia kupiga kwata wanaspend pesa yako wengine
  8. M

    Msikiti Dodoma waungua

    Oooch Majini siyatakuwa yameungua yote au walifanikiwa kuyatoa..!
  9. M

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Mtatiro ndo wale wale wanafiki hanajipya anafikiri hii single yake ndo haitabuma.
  10. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetakuja Nachingwea jamani shule iko hapahapa katikati ya haka kamji Inaitwa Nambambo me niende Morogoro
  11. M

    Udom kinanukaa kesho, vipeperushi vyasambazwa.

    Wapuuzi nyiee mwaka 2010 simlimchangia Kiwete pesa ya kampen ,acheni kulialia hapa
  12. M

    Azam Media Ltd is coming soon

    Asilete upuuzi wake Tz
  13. M

    Kesho Iringa: Lema, Sugu, Lissu, Kiwia, Wenje Msigwa na Dr. Slaa kuhutubia

    Asante mkubwa anataka uongozi wakati yeye ni bwegee
  14. M

    Maandamano ni chanzo cha posho kwa viongozi CHADEMA

    Chama Cha Makenge
  15. M

    B.a sociology

    Pole yako siunaona jamaa anajutia we unaleta utetezi wakitoto kias hiki Eti anafiti kila sehemu
Back
Top Bottom