Search results

  1. N

    walikuja Dar mkawafukuza!

    machinga=marching guy
  2. N

    Kama huwezi utani usifungue hapa.

    kwenu mpo wengi hadi baba yenu akiamka asubuhi anawasalimia hamjambo watanzania.
  3. N

    Mwalimu wa computer

    Habari wadau,ninatoa kozi za computer applications kama Word,excel etc,pamoja computer hardware,mtindo wa ufundishaji ni private,hivyo nakufuata mahali ulipo,kwa atayehitaji nitafute kwa namba hii 0714430096.
  4. N

    Diamond na Wema, Full drama!

    Weka hiyo clip mkuu.
  5. N

    Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

    Mi nilidhani untk kumuwowa kumbe kumuoa!?
  6. N

    Nchemba anapomuita Mnyika mtoto wa kiume

    Binafsi sinunui tena muvi,nikitaka kutazama nawafukuza watoto wakalale nipate burudani.
  7. N

    Rich Dad, Poor Dad by Richard T. Kiyosaki

    Ubungo stand ya mkoa,kuna jamaa wanavyo.
  8. N

    Making Money Online

    Go to google,search online jobs,scam,that will get you to the bottom of it.
  9. N

    Kuwekeza tanzania

    Kweli mkuu,katufumbua macho huyu jamaa.
  10. N

    Kuwekeza tanzania

    Mkuu,kwa mujibu wa robert kiyosaki,kuna aina tatu za uwekezaji,moja ni katika biashara yako mwenyewe,yoyote ile,mbili ni katika real estate,yaani nyumba,viwanja nk,tatu ni katika hizo mutual funds,ambazo mleta mada ndo anataka kujua zaidi. Investment yoyote inaweza kukutoa kwny umaskini,lakini...
  11. N

    Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

    Kweli mende hupenda sana mavi.
  12. N

    Mdogo wangu ana elimu hii anatafuta kazi

    Kwa nini asijiajiri kama procurement consultant mkuu?
  13. N

    KWA NINI SIJIAMINI mimi ni mtu pia, kwa nini sasa

    La kuongeza katika presentation jaribu kutafuta sura ya mtu unayemwamini,mtazame huyo usoni wakati unapresent,taratibu itakupa kujiamini.
  14. N

    Niko njia panda

    Sema una umri gani,huyo mume wa mtu ana uwezo wa pesa kiasi gani pls.
  15. N

    ibra da hustla

    Yupo clean halafu pona ndo zinamharibu tena!mabwaku!
  16. N

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Usisubiri kupata pesa yote kwa mkupuo,kama una chanzo cha pesa cha kawaida jaribu kuweka si chini ya asilimia 10 kila upatapo pesa,haba na haba hujaza kibaba,usijali itakuchukua muda muhimu usipoteze focus,au kama hauna fanya kama alivyokushauri Lyamber halafu uanze kutenga pesa kwa ajili ya...
  17. N

    Saa ingine sintah ni kama hajielewi vileee

    Bwabwa lina sura ngumu kama ngozi ya goti!?duh!
Back
Top Bottom