Search results

  1. jashmoe32

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Ni kweli nimekosea ila way forward kuovercome hili jambo la kubonyea?
  2. jashmoe32

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi. Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali. Ahsante
  3. jashmoe32

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Ningeshauri kama ingependeza kungekua na usafiri wa kushare ambao watu wanaotoka Kimara mpaka Posta, Gongo la mboto mpaka Posta na Bunju mpaka Posta na kama gari ya watu watano then mnachangia hata elfu 5 na inakua ni nzuri zaidi
  4. jashmoe32

    Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

    Hapana ila nimehamishiwa Dar
  5. jashmoe32

    Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

    Habari wana Jf, Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga??? If yes then gharama ya usafiri ikoje? Tusaidiane ili tuwahi makazini
  6. jashmoe32

    Biashara ya kukodisha Turubai

    Wakuu naomba ushauri wenu Tafadhali
  7. jashmoe32

    Biashara ya kukodisha Turubai

    Habarini, Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)? Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps? Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
  8. jashmoe32

    Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  9. jashmoe32

    Msaada wa whatsapp katika Nokia 3310

    Naomba msaada wa mtu mwenye uwezo ww kuweka whatsapp katika nokia 3310
  10. jashmoe32

    Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  11. jashmoe32

    Ni lipi basi zuri la Dar - Iringa

    Habari, Naweza kufahamishwa usafiri mzuri wa Dar kwenda Iringa na gharama zake
  12. jashmoe32

    Hospitali za Serikali kuna uzembe wa hali ya juu

    Ushauri wangu kwako na wengine wote ni kua ukipewa dawa yoyote Hospitalini, kama una nafasi jaribu kugoogle upate picha kama hiyo dawa inaendana na tatizo lako
  13. jashmoe32

    Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Why mlikua mnamuita Mama Katapa?
  14. jashmoe32

    Nahitaji portable airbed

    Waungwana, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu sehemu gani naweza kupata airbed. Nitashukuru nikisaidiwa na bei yake
  15. jashmoe32

    Anayejua kutengeneza sausage

    Tumia Google na YouTube na itakupa best way for making sausage
  16. jashmoe32

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hiyo ni system ya kuwaona maisha yako yote au Mara moja tu?Pia na je wao watajua kua umewaona au?
  17. jashmoe32

    Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

    Mkuu kwa tuliopo Dar unatusaidiaje ndugu
  18. jashmoe32

    Inakuaje Mzee uajiriwe na kijana Tena mwanamke,na akutume!!!

    Bado u mtoto na ukikua ndio utayajua maisha
  19. jashmoe32

    Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

    Tunga wewe ili tuwashindanishe mana unaonekana una kipaji sana
Back
Top Bottom