Search results

  1. Asili100

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Ya 14 imetoka? Maana porojo nyingiiiiiii hadi hatuoni mwendelezo
  2. Asili100

    Ifahamu Kiundani Dini ya Kibahai

    Inamaana wanaamini vitabu vyote vya dini zilizopo duniani na wanazitumia? mkuu Online Pastor nawewe ni mmoja wapo ama?
  3. Asili100

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    mkewe Nifah alete majibu pliz, yuko wapi the bold
  4. Asili100

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dwasco kwa kweli hamtutendei haki ni kwanini mmewaunganishia wakazi wa kwembe vijijini kule malamba mawili hamkufika. na kuna tetesi ya kuwa sisis wa kwembe mpakani tunahesabiwa kuwa maji yameshaunganishwa kote. tunataka kujua ilikuwaje mkaunganisha maji wachache na wengine tumekosa...
  5. Asili100

    Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

    Kama alivosema mkuu Eiyer ile picha ni mawazo tu ya mtu binafsi tena mtu aliyekua mpagani na inasemekana alikua gay so alitengwa na dini na ndio maana alitaka sana kupotosha watu katika michoro yake. Lakini pia hii tafsiri ya kua kwenye ile picha kuna mwanamke ni ya Dan Brown mtunzi wa kitabu...
  6. Asili100

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Ile imezuiwa na CIA mpaka watakapoihakiki maana the bold ameyatoa ya uvunguni mnoooo. Amewachokoza
  7. Asili100

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Nimesoma mahali.. uwanja ulikua unatumika na ilikua taa zote zinazimwa na kuwashwa tu pale inapotokea ndege iliyopewa ruhusa kutua hapo. Taa zinawashwa then ndege husika ikishapita kwenye 'run way'' taa zile zinazimwa tena. Sasa hawa mabwana wa Israel walicheza na ratiba ya ndege fulani ivi...
  8. Asili100

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Enhe The bold baada ya lile Lemousine kupandishwa ndege ikawaje? Tuanzie hapo leo :):)
  9. Asili100

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Huu uzi nausoma naona kama kuna chembe chembe za movie ya Delta Force ya Chuck Norris, nahisi alitoa baadhi ya ''events'' kwenye hii mission.
  10. Asili100

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari TANESCO ... Umeme Kigamboni umekua kero kwa miezi ya hivi karibuni. Umeme unakatika muda mrefu sana na pia ukirudi unacheza cheza au unakua mdogo then unakatika tena. Sikumbuki siku ambayo nimekaa na umeme bila kukatwa kwa siku nzima katika miezi ya April, May na June...
  11. Asili100

    Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Shida ni hao ATCL wenyewe wanakua kimya sana mpaka watu wanaongea ongea ovyo na kumtumia huyo 'binti' picha za ushahidi... Kwani wangetoa maelezo kama haya tusingeelewa. Hata uswahilni kama una gari moja nalo likapata matatizo ukalilaza garage kwa muda ukaanza kubanana na sisi kwenye daladala...
  12. Asili100

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Ila Bill Clinton alishatoaga hii order na mwisho ni September tu hapo. Mara tunasikia paaap yule director wa CIA aliyetumbuliwa ndiye alikua MKUU wa mission nzima.
  13. Asili100

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Mkuu The bold nilisikia kua mwaka huu ndio ilikua mwisho wa hii ishu ya Kennedy kua SIRI na CIA wanatakiwa watoe ukweli wote ulivokua, vipi walishaachia au wameongezewa muda?
  14. Asili100

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Ilipokua season 1
  15. Asili100

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    The bold basi mkuu nishaipata kule. Asante
Back
Top Bottom