This information will totally transform the way you use your PC and the Internet. The Website is different. The Free Tutorials are different. And your way of life will be different from the moment you enter this remarkable site. Get over NOW and watch the magic happen i have not seen something...
Ujamaa wa Nyerere ni mchanganyiko wa mambo huwezi kuupeleka China au Urusi kwa vile mambo kule yalikuwa ni ya kutumia nguvu dini zilikuwa haziruhusiwi, yeye alikuwa anatumia ushawishi. Naweza kusema kwamba alipata influence ya Mahtama Gandhi kwenye kupigania uhuru.
Na mimi niwaulize swali...
TARATIBU ZA KISHERIA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA BIASHARA
Baada ya kufanya utafiti na kupanga mipango ya kuanzisha biashara unatakiwa kwanza kuangalia taratibu za kisheria ambazo unatakiwa kuzifuata na kuzitekeleza. Kama biashara yako ni ndogo anza kama mtu binafsi. Faida ya kuanza biashara kama...
Makala- Mbinu za biashara 2
NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA.
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti.
Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi kuharibika. Lazima
ujiulize kwamba unataka kufanya biashara gani? Usiseme unataka
kufanya biashara yoyote ile kwani...
Ndugu wapendwa kuanzia sasa nitakuwa nikiwatumia makala za
kuwaelimisha juu ya ujasiriamali ifuatayo ni makala ya kwanza.
SIRI YA UTAJIRI
Watu wengi wanajiuliza, "Siri ya utajiri ni nini?" Jee ni mbinu gani
zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni
kujifunza elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.