Search results

  1. Hablue

    Ninatafuta kazi za afisa mkopo

    igwe, ni kweli ninauzoefu wa miaka minne NILIOUPATA katika kampuni ya MAHUSIANO MICROFINACE LTD
  2. Hablue

    Ninatafuta kazi za afisa mkopo

    Ninaomba kazi ya afisa mkopo, nimemaliza diploma in law na ninauzoefu wa miaka minne katika kazi ya afisa mikopo, nimeomba kazi mara nyingi sijapata. Tafadhali mwenye shida ya afisa mikopo nipo hapa. kwa mawasiliano 0766 969780
  3. Hablue

    Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

    "Vijana, kumbe tukithubutu tunaweza! Wakati nikiwa nasubiri ajira rasmi nikaona si vema kukaa nyumbani idle, nikakodisha shamba la takribani hekari 12 maeneo ya huku kwetu Tanga, lakini kwasababu naanza nikatumia hekari 08 tu kwa kupanda mahindi, nashukuru kwamba karibu asilimia 99 ya sehemu...
  4. Hablue

    Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    jamani nyie chakarika mbona kimya hatuelewi au mlikuwa mnatudanganya NAFASI YA KAZI: MAAFISA MKOPO. Chakarika Credit Facility ni taasisi inayotoa mikopo midogo midogo iliyopo maghorofa ya Urafiki Shekilango mkabala na Royal College inatangaza nafasi ya kazi ya maafisa mikopo. Sifa...
  5. Hablue

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    supu ya kabichi ikoje tujuzane jaman mabonge tupo wengi
  6. Hablue

    Faida ya tunda la tango

    eti ni kweli ukidondosha tone la maji maji ya tangondani ya macho, macho yanakuwa meupeeee?
  7. Hablue

    Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    "Ulizomeza mpaka sasa kama azijakuleetea madhara basi n madharaless" YAAN KUNA WATU WANAMANENO UMU CO CRI UMENICHEKESHA
  8. Hablue

    Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    HA HA humu ndani kuna vituko na majibu ya ajabu
  9. Hablue

    Kiwanja kinauzwa

    kiwanja kipo Dar-es-salaam tabata segerea kina offer na ukubwa ni square meter 746 kinauzwa mil. 17. anaeitaji aniPM
  10. Hablue

    Wanawake wenye sura hii hunyang’anywa sana wapenzi…..!

    "Ngoja nijaribu... Kwa wale wenye sura kama chapati tegemea yafuatayo; siku zote utaliwa sambamba na maharage, chai ya rangi...ukithaminiwa sana utaliwa sambamba na mchemsho na hutafanywa staftahi. Pia wapo watakaojitahidi wakuchome/kaanga kwenye kikaangio kisichoshika moto ili usibabuke sana...
  11. Hablue

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    dah! pole sana umenikumbusha machungu ni juzi tu ucku jumapili kuamkia jumatatu nilipolia kama mtoto kwa aliyekuwa mchumba angu kuniambia ametoa mahali kwa msichana mwingine...... nililia sana ila kwa uweza wa Mungu sasa nipo ok kbs na inamuomba Mungu kila cku nimsahau huyo mkaka. pole sana mdada
  12. Hablue

    Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    co kila kitu unatakiwa kucomment vingine unapita kama havikuhusu na co unaleta dharau
  13. Hablue

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    mimi ndio nimeisoma leo hii hii post, vipi ninaweza nikaaply?
Back
Top Bottom