Search results

  1. Takalani Sesame

    Tunawachekea Wachina huku wakitubamiza!

    Kweli wakuu, wachina sio kabisa. Na tukija kushtuka ishakula kwetu.
  2. Takalani Sesame

    Tribute To Uncle J. Nyaisanga: Jee Unamkumbuka kwa Lipi?!. Kuagwa Leo Leaders Club!

    Na hili pia liwe fundisho kwa wengine hapa tuwe na tabia za kusifia watu kwa mazuri yao (au kuonya kwa mabaya yao) kabla hawajaaga dunia. Unaonaje Pascal Mayalla?
  3. Takalani Sesame

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Pascal unaweza kujua kama Angalieni Mpendu tunae? Na kuna kile kipindi cha 'Hisia na Muziki' kilikuwa poa sana
  4. Takalani Sesame

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Comparatively, Congo DRC ni mshirika muhimu kiuchumi kuliko Rwanda. Hivyo Congo DRC tulivu ni muhimu kwa maslahi ya Tanzania kiuchumi na kijamii. Kwa Rwanda ni kinyume chake. Congo DRC yenye machafuko ni muafaka kwa Rwanda kufanya looting.
  5. Takalani Sesame

    Kwa jibu hili,waziri mkuu sijamwelewa.!

    You are expecting too much from this PM. You are bound to be disappointed.
  6. Takalani Sesame

    USHAHIDI zaidi wa Green Guard ya CCM, mahusiano na vyombo vya dola, serikali ndiyo walezi

    Ukweli una tabia ya kukawia kufika unakokwenda lakini lazima ufike tu..Nimemkumbuka ndugu yangu Mohamed Mtoi Shame on CCM, shame on Jeshi la Polisi, shame on John Tendwa
  7. Takalani Sesame

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hapo kwenye red mkuu, wazo mujarabu kabisa. AWATAJE apunguziwe adhabu
  8. Takalani Sesame

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Mtaishia kuwanyonga punda wa madawa tu, wenye mzigo watakuwa wametulia tuli.
  9. Takalani Sesame

    Inasemekana kundi la Sitta litaunganisha nguvu na CHADEMA kama CCM itamsimamisha Lowassa

    Say NO to mnafiki Sitta. Kama anataka kuing'oa CCM ajitoe mapema na sio asubiri yeye au kundi lake kutoswa ndo ajifanye kuikataa CCM. CCM haikubaliki toka kitambo, hivyo afanye maamuzi mapema kwa kuchagua upande.
  10. Takalani Sesame

    Mateo Qaresi: "Marais wamekuwa na viburi, hawashauriki, washtakiwe...CCM waache ushabiki"

    Je alichosema Mateo Quares sio cha kweli? Maana badala ya kujadili hoja kuna watu wanaishia kujadili mtu
  11. Takalani Sesame

    Kambi za CCM halali, za CHADEMA haramu?

    Kambi za green guard CCM zivunjwe, Tendwa ajiuzulu (au afukuzwe kazi) na jeshi la polisi lijirudi.
  12. Takalani Sesame

    Kodi ya Simu: Serikali lazima isikilize kilio cha wananchi

    Kwa nini wabunge wenu waliipitisha?! :mad: :mad: :mad: :mad: Acheni kujitafutia umaarufu wa kipumbavu hapa. Nina hasira na nyinyi sana
  13. Takalani Sesame

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Kwa kuwa hili ni la waalimu, sina wasiwasi nao. Watanywea tu 2015
  14. Takalani Sesame

    Kubadilisha engine na gearbox ya Mitsubishi RVR

    Mkuu mambo yote ni Ilala na Shaurimoyo. Ila kabla hujaenda consult fundi wako uende nae kabisa. Usiingie pale kichwa kichwa with no idea at all.
  15. Takalani Sesame

    Zembwela katika Super mix

    Siku hizi kila mtu anaweza kuwa mtangazaji ndio maana tunao hao kina Zembwela, Kibonde, Hando, PJ nk
  16. Takalani Sesame

    Vodacom Mmefanya la Maana Kuboresha Menu ya M-Pesa ila Kuna Jingine la Kufanyia Kazi.

    Mkuu hii si inawasaidia wale ambao hawawezi kukutana na mabango au kusikia matangazo ya huduma zao za mpesa? Mi nadhani haina shida kwa kuwa inakuja simultaneously na ile ya 'ku-confirm' transaction. Ningewamaindi kama inakuja sms ya promo kwanza bila ya ile ya confirmation ya muhamala wangu
  17. Takalani Sesame

    Wazee na Vijana wa Kimasai walaani Kikao cha Ukabila kwa kugawanywa kwa maslahi ya siasa

    Kwani kuna mtanzania yeyote anayekatazwa kuishi eneo lingine ambalo sio la asili yake? Kwa nini kwa wamasai iwe nongwa? Na kama kuna sheria wamevunja kwa nini wasipelekwe kwenye vyombo husika?
  18. Takalani Sesame

    Mbatia na Mbowe ugomvi wenu uishie njia panda ya Himo

    Mkongwe? :shocked: :shocked: :shocked:
  19. Takalani Sesame

    Hospitali Ya Ocean Road inatelekeza maiti wodini

    Wakuu hii inasikitisha sana. Tumefika mahali nchi yetu inahitaji overhauling kuanzia kwa mkuu wa nchi mpaka kwa mfagizi. Tujenge utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii na kuwajibika. NB: Kila kifo cha mgonjwa hospitali kingekuwa kinachunguzwa kwa kina, madokta na manesi wengi wangeingia matatani
Back
Top Bottom